Re: TOYOTA VOXY FOR SALE..!!


khauka

khauka

Senior Member
Joined
Jan 26, 2011
Messages
100
Likes
0
Points
33
khauka

khauka

Senior Member
Joined Jan 26, 2011
100 0 33
Habari wana JF
Leo nimewaletea Toyota voxy. Year-2002, ni auto, inatumia petrol, mile age 80,000km, ina automatic engine startup(yani unaweza kuiwasha ukiwa hujapanda uko nje), ipo katika hali nzuri imeshafanyiwa registration zote inamwezi sasa tangu itoke bandarini. Bei 17milion, yeyote aliyekua interested karibu tufanye biashara. Tuwasiliane kwa no. 0715841348/0754841348
Nimeirudia tena hii Topic baada ya kuweka picha nyingine za gari zinazoionyesha gari kwa uzuri zaidi, bado ipo sokoni Tuwasiliane..
View attachment 36316 View attachment 36317
 

Forum statistics

Threads 1,239,109
Members 476,369
Posts 29,342,429