Toyota VISTA Inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota VISTA Inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Mar 26, 2011.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145


  Saloon, silver, 1999, petrol, 1790cc, imported from Japan first registered in TZ in 13/08/2008, driven by a lady from Sinza to Mlimani City, 41,345km price 7.3mil.Contact 0784225000
   

  Attached Files:

 2. Jamesh

  Jamesh Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii naiona sana kwenye biashara ya magari. Hivi huwa inarahisisha uuzaji kwa namna fulani eeh?
   
 3. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndo maana yake,wanaume vunja vunja na ni watu wa safari ndefu
   
 4. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Madereva wa kike wanaojua wanakua waangalifu sana wawapo barabarani alaf hawana safari nyingi kama waume. Wao ni kazini baada ya kazi nyumbani. Wakati wanaume wengi wanapitia katika bar kwa mazungumzo ya kibiashara wakirudi huko wamelewa na kusababisha ajari ovyo ovyo.
   
 5. SUNGUSIA

  SUNGUSIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kaka engine Gani maana ninavyo jua Vista nyingi D4 na hii ingine kidogo mafundi wetu mmmmhh issue
   
 6. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hiyo siyo D4
   
 7. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,213
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Kitomai, najua wewe ni dalali mzoefu wa magari hapa JF.
  Nipe bei za GX 100, ya kuanzia mwaka 1999 na kuendelea, hata kama ni kununua toka kwa mtu.
  - Engine 1G, cc 2000
  - Exceed au Super Lucent
  - Najua unafanya biashara, lakini itapendeza kama utani-PM pamoja na mawasiliano yako.
  Ni hayo tu

  Idimi
   
 8. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni sales pitch kimtindo. Ila inanitiaga wasiwasi sana, maana mara nyingi huwa hawaangalii hata rejeta imepungua maji. Asa go figure.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280

  Umesomeka mkuu.
   
Loading...