Toyota verossa vs toyota avensis ipi nzuri?

JATELO1

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,230
Reaction score
306
WADAU,
Nina ndugu yangu anataka kuagiza gari toka Japan, na anavutiwa sana na Toyota Verossa na Toyota Avensis, sasa anaomba ushauri ili kujua kati ya magari hayo ni ipi ni nzuri kwa mazingira ya hapa Tanzania katika ugumu, spare, muonekano, n.k

Naomba wenye uzoefu na magari wanisaidie kujua lipi kati ya Toyota Verossa na Toyota Avensis ni nzuri.

Natanguliza shukrani.
 
Kimsingi Verossa iko kisasa zaidi na engine yake ni ile ya GX110, sawa na MarkII. Ndani iko vizuri na ina nafasi ya kutosha, na kwa ufupi nyingi ni six cylinder, japo nasikia zipo za four. Speed kama unaenda safari ipo safi na imetulia barabarani haiyumbi ukipishana na basi/lori. Mafuta inakula tofauti na hizi carina au premio corona. Engine yake ni angalau cc1998. Spea bei yake imetakata kidogo

Avensis ni Toyota Corona Premio for Europe. Kwa Speed hiyo gari ina angalau 160mile/hr tuseme 240km/hr. Kimsingi kwa dereva mtukutu Avensis wanapambana na Benz, BMW au magari mengi ya Kijerumani ambayo speed yake ni kuanzia 220km/hr. Engine yake siyo kubwa. CC1498 kama Carina TI hadi 1762(1800cc) kama Corona Premio. Ama kuhusu spea, bei zake ziko juu tofauti na Premio za kawaida.
 
Toyota Verossa vs Toyota Avensis = TOYOTA BRAVIS
 
Tuko na avensis ya uingereza, saloon bt manual transimission na inatumia diesel. It is very comfortable, space kubwa ndani, fuel consumption superb! Long safari iko poa kinoma - naifananisha na benzi au rover!
Shida yake spea, yetu iliharibika alternator mbona ilikuwa shughuli! Nafikiri ni kwa sababu ziko chake hapa mjini so waagizaji wa spea pia hawazileti kihivyo. Otherwise I would recomend it!
 
Ahsante sana kwa ushauri mzuri ndugu yangu.
 
Tuko na avensis ya uingereza, saloon bt manual transimission na inatumia diesel. It is very comfortable, space kubwa ndani, fuel consumption superb! Long safari iko poa kinoma - naifananisha na benzi au rover!
Shida yake spea, yetu iliharibika alternator mbona ilikuwa shughuli! Nafikiri ni kwa sababu ziko chake hapa mjini so waagizaji wa spea pia hawazileti kihivyo. Otherwise I would recomend it!

Kwahiyo tatizo la Toyota Avensis ni Spea kuwa juu na ngumu kupatikana pia.
 
Siyo kweli kuwa Toyota ni Toyota kaka. Inavyoluwa ni kwamba Toyota zinazoenda Uropa zina specification tofauti na za huku. Kwa mfano, wiper ya Avensis au Suzuki za Uropa ni tofaut zile utakazoagiza directly kutoka Japan
 
Mzee unaweza ukaelezea kidogo mazuri ya TOYOTA BRAVIS?

Toyota Brevis ni gari nzuri sana ila zina cc kubwa kidogo 2500 na 3000. Kwa long trip iko bomba sana kwenye ulaji wa kiwese lkn kwa town trip kwenye hizi foleni zetu kiwese kinayoyoma sana.
 
toyoa avensis 2004.....1600-2000cc....top speed 240kph
250px-Toyota_Avensis_T25.jpg

toyota verossa 2003....2000-2500cc......top speed 180kph
250px-Toyota_Verossa_01.jpg
 
Avensis d4d ni nzuri ila spea na mafundi wazuri wa hizi gari bado ni tatizo
 
Back
Top Bottom