Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 9,501
- 12,832
VW Touareg V6
VeWe , hatari mkuu. 😁
VW Touareg V6
Bwashee umeshakosa hela😅😅Acha kumuita huyu Mzee wa tungi.
Saiz bwashee anakula nyagi ya Eid Mubarak afu anasubiri nyagi ya huzuni ya Mzee wa Kazi kusurubiwa msarabani baada ya hapo Sasa nyagi ya furaha Mzee WA Kazi kufufuka.
Ndio mana pombe unatakiwa unyewe wakati wa furaha na huzuni pia.Asee pasaka ni Nomaaa kabisaa.
Usiache kula hiyo kitu ni tamuu upate Ile ya kuchomaKama unanishauri niache hivi
DaahBwashee umeshakosa hela😅😅
Asiniite mimi mnywa tungi 😃Daah
Nichek wasap nipe bajet yakoVW Touareg V6
Okay Kula maji mzeeAsiniite mimi mnywa tungi 😃
Ahh wapi basi masikini wote tungekuwa hatuna hata marafiki!Siwezi kufaa popote, mwanaume maskini kama mie ni mzuri tuu kwa mama yake. 😁
Hapo kamaanisha maskini wa akiliAhh wapi basi masikini wote tungekuwa hatuna hata marafiki!
Si useme ni mshangazi kabisa!Mimi ni mmama ila siipendi gari nyeupe kabisa😂
Ni sawa yote yananifaa!Si useme ni mshangazi kabisa!
Sawa TajiriNi sawa yote yananifaa!