Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,540
- 31,606
Hata mimi naiona hivi kwakweli..Vanguard ni Rav4 miss Tanzania iliyochangamka au mimi naona vibaya wazee.
Gari inauzika hii mkuu, we pambana tuu.
Hata mimi naiona hivi kwakweli..Vanguard ni Rav4 miss Tanzania iliyochangamka au mimi naona vibaya wazee.
Gari inauzika hii mkuu, we pambana tuu.
Kwanini usinipe wewe😆
Gari nzuri tatizo Rangi Nyeupe
Hata mimi naiona hivi kwakweli..
Basi kuna sehemu utafaa sio mbaya sana😅Mi maskini sina kitu, ukinichukua mimi na vyote nilivyonavyo hata milioni mbili haifiki.
Salama Mkuu Chivunduuuu (Loi 1997) 😄Mkuu habari ya siku tele, 😁
Rangi nyeupe ina nini mkuu?
Tupe pros and cons za rangi nyeupe!
Nje ya mada: Itabidi nikupigie nikusalimie mkuu. 😁
Toyota nyingi model mpya zina huo muundo na ule wa harrier new modelToyota samtaimu anatuchezea shere sana, hapo kacheza na body tuu ya Rav 4 Miss Tanzania, kaweka madoido kiaina, injini, gearbox ni ile ile 2AZ 2360cc. Ila bado ni gari zuri.
Mimi ni mmama ila siipendi gari nyeupe kabisa😂Salama Mkuu Chivunduuuu (Loi 1997) 😄
Rangi nyeupe haitufai sisi Vijana wenye vurugu, hizi zinawafaa waMama na wazee.
Gari nyeusi/dark blue inavutia zaidi alafu hata ikijaa tope kidogo haioneshi sana.
Oohooo! Kumbe wamama wa Mujini kama wa Mashariki ya kati 😄😄Mimi ni mmama ila siipendi gari nyeupe kabisa😂
Unakula miguu ya Kuku saana mkuuNapenda kutembea kwa Miguu, sijui ninunue tu gari
Unataka Gari Gani?Salama Mkuu Chivunduuuu (Loi 1997) 😄
Rangi nyeupe haitufai sisi Vijana wenye vurugu, hizi zinawafaa waMama na wazee.
Gari nyeusi/dark blue inavutia zaidi alafu hata ikijaa tope kidogo haioneshi sana.
Bora tuliikaushia tu😁Hmm si nilikwambia
VW Touareg V6Unataka Gari Gani?
Na grey😍Oohooo! Kumbe wamama wa Mujini kama wa Mashariki ya kati 😄😄
Gari bwana iwe Nyeusi au dark blue ni swaaafiiii
Yeah! Kweli na Deep grey ni 😘Na grey😍
Kama unanishauri niache hiviUnakula miguu ya Kuku saana mkuu
Salama Mkuu Chivunduuuu (Loi 1997) 😄
Rangi nyeupe haitufai sisi Vijana wenye vurugu, hizi zinawafaa waMama na wazee.
Gari nyeusi/dark blue inavutia zaidi alafu hata ikijaa tope kidogo haioneshi sana.
Basi kuna sehemu utafaa sio mbaya sana😅