Hizo gari nenda Kwa wahindi kariakoo utauziwa kwasababu kwenye mitandao ya wauza magari Japan hakuna.
Njoo mtaa wa tandamti/sikukuu lipo moja naliona daily
Toyota India ndiyo wanazalisha hii brand, india zimejaa sana na ukitaka used nenda kwenye soko la used India. Nadhani pitia www.olx.in unaweza kupata picha ya gharama kule then ukatafuta relible source kufanya manunuzi. Nashengena

Pekuapekua maana ya neno 'rebadged', utaelewa kwanini hizo gari zinaitwa Toyota Urban Cruiser kwa soko la Ulaya, IST kwa soko la Japan, Scion xD kwa soko la USA, na Suzuki Brezza kwa soko la India.