Toyota RAV 4 yauzwa!!!

mokiwah

Member
Apr 1, 2012
11
0
Toyota RAV 4 yauzwa. Wasifu wake ni kama ifuatavyo;

** Imetengenezwa mwaka 2004
** Imeingizwa nchini mwezi mei, 2012
** Ni "Automatic Transmission Gear"
** Ukubwa wa engine ni 1800cc na VVTi
** Ni ya milango mitano (5)
** Imetembea km 119,000
** AM/FM Radio na CD player
Bei 26,000,000 Tshs. maelewano yapo... Mwenye kununua wa uhakika tuwasiliane mgosingwa@gmail.com


IMG01547-20120619-1749.jpg IMG01552-20120619-1756.jpg IMG01553-20120619-1757.jpg
 

Attachments

  • IMG01550-20120619-1755.jpg
    IMG01550-20120619-1755.jpg
    297.6 KB · Views: 51
  • IMG01549-20120619-1755.jpg
    IMG01549-20120619-1755.jpg
    284.3 KB · Views: 46
Likiuzwa kwa hiyo bei je??? Walah ntawaomba JF wakuvue uanachama , tupinge!!!?
 
Milango ya mazungumzo iwazi ndugu zangu! Bei tajwa isiwe kikwazo cha wewe kushindwa kuja zungumza biashara.

"..... Biashara isiyo na mazungumzo si biashara kwa Mtanzania."
 
Back
Top Bottom