Toyota rav 4 inauzwa

Toyota rav 4 inauzwa

Kalidini

Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
12
Reaction score
0
Toyota RAV 4 yenye details zifuatazo inauzwa.
-Station wagon
-Year of manufacture 2002
-Petrol
-Colour silver
-5 Doors
-Registered T 000 BVK
-Mileage 68000
-Engine capacity 1998
-Imeingia Tanzania October/2011.
-Inatembea ingawa muda mrefu ilikuwa imepaki, mwenyewe nilisafiri.
-Bei yake ni MIL.23, maongezi yapo.
-Wasiliana nami kwa namba 0656 247324
 
Tunashukuru mkuu japo ingependeza zaidi kama ungeattach na pics chache.
 
deatail nzuri lakini mwanagu 23 hiyo ni bei ya dukani au yard sasa wewe ni used any way biashara huru
 
Ndg yangu bei yako iko juu sana. Na bahati mbaya sana kwa details hizo gari yako itakuwa na engine ya uingereza au D4. sokoni hizo mashine hazikubaliki kabisa. zinazokubalika za 1ZZ ambazo ni vvti na ni 1800cc.
ushauri wangu uza hata kwa 15M ukipata mtu.mimi binafsi niko tayari kukupa hiyo 15M hata leo hii. ni pm kama vipi.
 
Nawashukuru wote mliochangia, gari nimeshaliuza kwa 22m.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom