Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 808
- 2,169
Kwangu mm nakushauri chukua PREMIO...kwanza iko stable barabarani...RAUM tatizo lake ni miinuko...sehem zenye mwinuko inapata tabu sana kupanda pia ni nyepesi sanaaaa...haipo stable barabaran....premio tafuta ya 1490 cc...