kunena
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 507
- 721
Acha ujinga gar nzur hio
Gari ni body siku hizi....engene ikisumbua si unaivua tu na kuweka ingine bob
Acha ujinga gar nzur hio
Ubinadamu kazi sana mkuu ....tatizo washazoea kudanganywa ukiwapa bei ya kweli shida....ila ndy hvyo inabidi tuwavumilie TU heheWabongo hatuna dogo mkuu ungeweka bei kubwa ungesikia umeuza bei juu sana sasa umeweka bei ya kweli wanasema imekuwa ndogo mno labda mbovu duh wabongo shida
Una utani na pesa ya magu wewe. Kama unayo ujue rahisi ikiwa hata wewe now huna ujue namba kwa wote.Mmh raumu milion 5? Kuna jambo hapa maana kwa akili ya kawaida isingefika kuitangaza hapa hata ndugu zako wa karib wangeinunua.
Mkuu uwe unanitagi ukipata gari nzuri za bei ndogo. Leo nimekosa hela tuShkrani mkuu....nna uzoefu wa muuzaji wa Magari hata bei nliyoiweka nmeweka ya mmiliki sikuweka bei ya tamaa
Ova