Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 274
hellow wandugu! naomba kufahamishwa ubora wa hii gari kwa wale waliozitumia kwa mazingira ya kibongo bongo kabla sijaiagiza, mchango/ushauri wenu ni muhimu sana.
wakuu hamna mwenye maelezo ya hizi gari au hamjayatumia wengi wenu
Wee mwenyewe hujaonyesha kujishuhulisha vya kutosha na kitu unachotaka...
Umeshindwa hata kuweka picha tu..?!
Nakushaur, weka picha na spec zake, hata kama chache tu, pamoja na Bei uliyoiona huko unakotaka kuagiza hiyo gar, watu watakupa ushaur wa kutosha, ukiwemo aina nyingine ya gar yenye kufanana na hiyo.