Toyota Primeo inauzwa!!!

kana kwamba watu mnataka specification zote za hiyo gari muzione hapahapa siku unakwenda tu unalipia cash...kama kweli una shida na gari kwann usiwasiliane na huyo jamaa kisha ukaenda kuliona na kulikagua fresh...
 
mkuu bei umepaisha mno.kama gari imetumika bongo imeshakua third-hand sio second-hand tena sasa mbona unapiga bei kubwa kuliko hata kuagiza second-hand kutoka japan?rekebisha bei then wadau tutapata ujasiri wa kunegotiate.otherwise wadau wataendelea kuuliza maswali tu
 
kana kwamba watu mnataka specification zote za hiyo gari muzione hapahapa siku unakwenda tu unalipia cash...kama kweli una shida na gari kwann usiwasiliane na huyo jamaa kisha ukaenda kuliona na kulikagua fresh...

Mkuu wewe nimtu wa magari........No comment Nanimekugongea senksi.
 
ukitaka kujua watu wa sumba-wanga ,kyela utawajua kwa maneno yao,,ndugu ulipo hata akishusha mil 4 sijui kama utaweza kuifwata dar
 
kama premio ndo mil 8.3 vp gx100??? tafadhali tembelea website za magari kabla hujatangaza bei alaf umeshatumia
 
kama premio ndo mil 8.3 vp gx100??? tafadhali tembelea website za magari kabla hujatangaza bei alaf umeshatumia
We ***** nini ulishawahi kumiliki gari??gx100 unajua bei yake??gx100 inakaribiana na bei ya bajaj!!Gx100 bei yake ni six m!
 
Mzee bei ni kubwa, jana rafiki yangu mmoja kanunua Mark II Grand ya 2001 ina mileage ya 84,000 kwa sh. 7 mil. Kabla ya kuuza gari jaribu ku survey market, otherwise utaonekana kichekesho mjini!! Ni ushauri tuu mkuu!!

Mkuu kama uko serious na kuuza gari yako my offer is Tsh. 5 mil!!
 
Sasa mkuu grande markll nigari yakutisha??au wewe unatizama ukubwa? Ila asante kwa offer yako tofauti na wengine wenye maneno ya jikoni kama.......
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…