middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,309
- 1,693
Habari za majukumu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo. Kwa mtu anayetaka kununua gari yake ya kwanza hasa kijana mwenye kipato cha kawaida kati ya Toyota Premio X old model na Mitsubishi Outlander second generation unamshauri gari gani ya kuanza nayo. Nafahamu ni gari mbili zenye body tofauti saloon Vs SUV
Kwenye upande wa saloon car nimevutiwa na Premio na kwenye upande wa gari za juu (SUV) nimevutiwa na Outlander sasa naomba ushauri hao wawili. Ahsante.