Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
sio gari ya kukaa sana hiyo
Unamaanisha nini mkuu? Haidumu au?
sio gari ya kukaa sana hiyo
namaanisha zinawateja sana mkuu
Hapanaunataka ile ugali?
Hii nchi yetu kweli tunatawaliwa, hivi ni kwanini kodi ya gari inazidi zaidi ya asilimia 100 ya bei ya manunuzi na wananchi tunaona sawa tu.Ninakumbuka machungu nilinunua Noah nimelipishwa maradufu ya bei niliyonunulia kwa uchungu nimelifungia linaelekea mwaka wa pili sasa.Nimeshikwa na butwaa hadi hii leo,Tax inazidi vipi mara asilimia mia moja na zaidi ya bei ya manunuzi.Hivi nani alilifikiria hili la ushuru na kulihalalisha. natamani ningekuwa na wadhifa fulani na kulisimamia hili hadi kieleweke.Huu ni wizi namba moja na si ushuru tena.Waheshimiwa wabunge iwajibisheni wizara ya fedha ituondolee dhulma hii.CIF $3,200 = Tshs 7,200,000
Total Taxes = Tshs 7,500,000
Port Charges, Agency Fees etc = 800,000
Total 15,500,000/=
View attachment 610644
View attachment 610645