Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,587
- 1,855
tatizo plate namba kama jina la mkuu wa mkoaImetulia sana aisee
tatizo plate namba kama jina la mkuu wa mkoaImetulia sana aisee
Unahofia atakupokonya? ?tatizo plate namba kama jina la mkuu wa mkoa
Kuna watu ni wanazi kwel kwel, kwa hyo plate number humuuzii!!Imetulia sana aisee
Nasikia yanakula wese sanandio mkuu karibu
***** unawaweza sana maswali mengi hata baiskeli hawanaunataka ile ugali?
Bei gani hiiipo hiyo nyingine kiongozi![]()
![]()
![]()
![]()
Ni kweli kabisa naona ni hela ya weka chukua, Bei zinasimamia ngapi mkuusio gari ya kukaa sana hiyo
Nitafrahi kujua zote mkuunikweli mkuu bei ya showroom au mkononi?