Toyota Premeo 4 Sale!

DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,216
4,519
Wadau ninauza gari yangu aina ya Toyota Premeo iko katika hali nzu ya mwaka 1998 nimekuwa nikiitumia kwa matumizi binafsi na regular service. Ni imara kabisa mwenye hela anitafute wiki ijayo nitakuwa Dar! Bei ni 7,000,000/= negotiation ipo kidogo ukija naa mteja utapewa laki nne kwenye hiyo 7m othewise chini ya hapo ni maongezi!
 
Back
Top Bottom