Toyota prado

Toyota prado

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
94,967
Reaction score
134,441
Engen 3rz
Petrol
Cc 2490
Full doc
Ac kama uko mufindi
Bei 14mln
Gari haigongi.....chini,utafikiri imetoka jana Japan
Kama uko interested nayo ni check 0715591141 nku link na mmiliki moja kwa moja Gari inapatikana dar
Kingine mmiliki anaweza kuvunja na gari ndogo Kama ist au raum etc ukamuongezea hela pia Gari iwe nzima tu

Ova
IMG-20190414-WA0012.jpg
IMG-20190414-WA0009.jpg
IMG-20190414-WA0005.jpg
IMG-20190414-WA0004.jpg
IMG-20190414-WA0002.jpg
IMG-20190414-WA0001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua nyumba tungesema ni pagala.

Ila kwakua ni gari tuseme ni "Mkweche" ama "mkangafu"
Ila bro 1KZ hiyo tusiidharau,mwenye gari hiyo ana uhakika wa safari zaidi ya mwenye Spacio New au Raum New yenye #D.

#B inaonekana bado smart hivyo kwa uelewa wangu bado iko vizuri japo inaonekana imetoka rangi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Na cheka cmnt za Vijana humu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmejaribu kufuatilia sana,

Hizi gari za Engine kubwa above 3000cc

Wengi wenye nazo hawazitembelei Mara kwa Mara kutokana na fuel consumption yake kua juu.

Kwahiyo,
Hata kama bado ni Namba A au B, bado unaweza kuikuta ktk ubora wa hali ya juu.

Tofauti na hizi gari zenye engine Ndogo.

Kuna mtu wa mkoani kamrushia mmiliki 500000/ kaizuia baada ya mtu wke kufanya ukaguzi.......kesho kutwa anakja kumaliza kbsa
Shida humu filimbi nyingi sanaaaaa
Hata ukiwawekea Gari ya mln1 watapiga kelele....nshawazoeaa lkn

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila bro 1KZ hiyo tusiidharau,mwenye gari hiyo ana uhakika wa safari zaidi ya mwenye Spacio New au Raum New yenye #D.

#B inaonekana bado smart hivyo kwa uelewa wangu bado iko vizuri japo inaonekana imetoka rangi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu huo mzigo hata ukipata wa namba A au TZ A bado ni mashine kuliko Raum ya namba DQ..
Ndo nini iyo Raum ama Spacio ndo taka taka gani?
 
Back
Top Bottom