Kitimbwisi
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 155
- 72
nauza gari toyota prado.. 1KZ nipo dodoma.. inatembea pia haidaiwi.. kama unaihitaji na picha nipigie 0755965924. ni namba T 423 AWE
mm mwenyewe nipo Dodomanimetoa namba ya simu ili anaehitaji anitafute nimtumie picha.. nimeshindwa kuweka picha humu jf
mm mwenyewe nipo Dodoma
kitu kilichowatisha Member ni hizo No AWE ni lazuna utajuwa PRADO ya 1990 zaidi ya miaka 24 iliyopita bora uweke picha, wajue Model, mwaka, engine nk
itasaidia ili wafikie maamuzi ya kuifuatilia
au itangaze kwa Zoom Tanzania.com
ni ushauri tu
Diiii hahahahahahahahahahaaaaaaaaaLabda ni ya wizi
Labda ni ya wizi