Car4Sale Toyota Prado 1KZ Engine 2001 inauzwa.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Toyota Prado 1KZ Engine ya Diesel inauzwa kwa bei ya maelewano hapa akishindikani kitu!
Bei ni TSH 22,000,000/=, Mazungumzo yapo usiogope kwa uhakika kabisa piga namba hii,
+255688300088
View attachment 475995 View attachment 475994 View attachment 475993
Prado 2001-2.jpg
Prado 2001-1.jpg
Prado 2001-1.jpg
Prado 2001.jpg
View attachment 475989 View attachment 475989
Prado 2001.jpg
Prado 2001-1.jpg
Prado 2001-2.jpg
View attachment 475993 View attachment 475994 View attachment 475995 View attachment 475989 Prado 2001.jpg Prado 2001-1.jpg Prado 2001-2.jpg View attachment 475993 View attachment 475994 View attachment 475995
 
Pic lazima upige na ndani pia plus mileage za gari,sio outside the car only we want to see inside the car
 
Watu ni wapuuzi kweli, Gali umetumia miaka 8 bado unauza 22ml au hata 10ml
Halazimishwi mtu. Unajipima mwenyewe kama unaona inalipa unajitosa. Hiyo ndio biashara lisipouzika kwa bei hiyo, atauza kwa bei iliopo sokoni.
 
Picha ni nzuri na hata mwenye hiyo gari inaonyesha ni mtunzaji mzuri,kwa sisi tunaojua magari kwa hiyo namba huwezi uza kwa bei hiyo,kitakachomsaidia kuuza kwa bei nzuri ambayo itakuwa ni chini ya hapo ni mileage yake,kama iko chini ya 100,000 itakuwa vizuri.
 
Mnaosema bei kubwa mnataka bei gani?maana mnaishia kulalamikia jikoni
 
Prado old model kama hyo mpya inauzwa mil.25 , ww hii namba A unauza mil.22?? lijue soko, wajue wateja then fanya biashara! kwa hyo bei utakesha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom