Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Plse anaehitaji kununua toyota passo (dark blue colour), 80,000KM, anitumie private sms....urgently usiogope bei njoo tuongeee
Plse anaehitaji kununua toyota passo (dark blue colour), 80,000KM, anitumie private sms....urgently usiogope bei njoo tuongeee
Matangazo yasiyokamilika ni tatizo JF!Jaribu kupitia matangazo ya wengine ili ujifunze kutangaza biashara yako.
Matangazo yasiyokamilika ni tatizo JF!
Tena kubwa mno, sijui kwa nini huwa hawapitii matangazo ya wenzao ili wajifunze?Matangazo yasiyokamilika ni tatizo JF!
Jamani ndo maana nikasem anaehitaji anipm ili nimpe details anazotaka.....
Hakunaga Hiyo kitu kwenye marketing, punguza unnecessary questions!Jamani ndo maana nikasem anaehitaji anipm ili nimpe details anazotaka.....
We sema umekosea tu, kama ni hivyo ni kwa nini usingeweka tangazo lako huko pm?
Hakunaga Hiyo kitu kwenye marketing, punguza unnecessary questions!
Picha hd pm, manufacturer yr hd pm, mkoa ilipo hadi pm?
sasa bargain si itakua hadi machozi ya damu!,
Year of Manufacture: 2004
Engine Capacity : 1,290,
Make : Toyota
Model : Passo
Fuel consumption : 16km/ltr
Place for sale : Dar es salaam, sinza
Color : Dark blue
Amount: : 6.5mln
Distance covered : 80,000KM
Imported from Japan and registered in Tanzania, na imetumika bongo muda usiozidi miezi mitatu
Picha zitafuata.......
Mambo si haya mpaka uombwe bwana haya tujaalie picha
Kila binadamu ni mwanafunzi kwa hiyo lazima nikubali makosa.......picha zinafuata nafanya utaratibu
4m ono