BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 15, 2015 #1 Wadau natafuta gari tajwa hapo juu ninunue. Budget yangu ni 4.5m. Please kama unayo PM or call 0714010511.
Wadau natafuta gari tajwa hapo juu ninunue. Budget yangu ni 4.5m. Please kama unayo PM or call 0714010511.
DONALD JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 275 Reaction score 35 Jan 15, 2015 #2 Ipo Kali sana no.C, bei ya mwisho 6M...Nicheki 0755 927881 whatsap nikupe picha...
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 15, 2015 Thread starter #3 DONALD said: Ipo Kali sana no.C, bei ya mwisho 6M...Nicheki 0755 927881 whatsap nikupe picha... Click to expand... Punguza bei boss
DONALD said: Ipo Kali sana no.C, bei ya mwisho 6M...Nicheki 0755 927881 whatsap nikupe picha... Click to expand... Punguza bei boss
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 16, 2015 Thread starter #4 Wadau gari husika bado inatafutwa, tafadhali mwenye nayo tuwasiliane
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Jan 16, 2015 #5 umeshaachana na toyota vitz uliyokuwa unatafuta? BIGURUBE said: Wadau gari husika bado inatafutwa, tafadhali mwenye nayo tuwasiliane Click to expand...
umeshaachana na toyota vitz uliyokuwa unatafuta? BIGURUBE said: Wadau gari husika bado inatafutwa, tafadhali mwenye nayo tuwasiliane Click to expand...
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 16, 2015 Thread starter #6 ladyfurahia said: umeshaachana na toyota vitz uliyokuwa unatafuta? Click to expand... Sijaachana nayo bado ila nahitaji hii haraka zaidi kwa ajili ya bi mkubwa. Kama unayo ladyfurahia plz tuwasiliane. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ladyfurahia said: umeshaachana na toyota vitz uliyokuwa unatafuta? Click to expand... Sijaachana nayo bado ila nahitaji hii haraka zaidi kwa ajili ya bi mkubwa. Kama unayo ladyfurahia plz tuwasiliane.
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Jan 16, 2015 #7 toyota passo sina mkuu ndo maana nimeshindwa kukujibu kwa sms? iliyopo ni toyota vitz nayo ni ya kuagizwa BIGURUBE said: Sijaachana nayo bado ila nahitaji hii haraka zaidi kwa ajili ya bi mkubwa. Kama unayo ladyfurahia plz tuwasiliane. Click to expand...
toyota passo sina mkuu ndo maana nimeshindwa kukujibu kwa sms? iliyopo ni toyota vitz nayo ni ya kuagizwa BIGURUBE said: Sijaachana nayo bado ila nahitaji hii haraka zaidi kwa ajili ya bi mkubwa. Kama unayo ladyfurahia plz tuwasiliane. Click to expand...
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 16, 2015 Thread starter #8 ladyfurahia said: toyota passo sina mkuu ndo maana nimeshindwa kukujibu kwa sms? iliyopo ni toyota vitz nayo ni ya kuagizwa Click to expand... Ok sawa mkuu..wacha niendelee kutafuta.
ladyfurahia said: toyota passo sina mkuu ndo maana nimeshindwa kukujibu kwa sms? iliyopo ni toyota vitz nayo ni ya kuagizwa Click to expand... Ok sawa mkuu..wacha niendelee kutafuta.