Toyota Oppa imekosa nguvu

g4cool

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
429
206
Wandungu mambo vp? Nina toyota oppa ya mwaka 2006 ila sasahv nahisi kama nguvu yake imepungua, ukiwa barabaran kwenye kimlima inapanda kwa taabu sana na pia speed haizidi 80, nini shida?
 
mkuu kwa maelezo yako na hiyo opa yako engine yake lazima itakuwa 1zz fe kama sijakosea.

je mara ya mwisho kufanya service ni lini na ulifanya kipi na kipi??

kwanza kabisa cheki CAT catalic converter kama halijaziba kujua kama limeziba au halijaziba jaribu kupiga lesi uone kama rpm inamaliza na usikilize gari inaungulumia tumboni??

chek air clener,chek petrol filter na fuel pressure .

kama perforamance ya engine ni mbaya basi hata mwendo hautakuwepo gari haitaweza kubadili gear vizuri pia
 
Nimeifanyia service wiki iliyopita, ila nilibadilisha engine oil na oil filter
 
mkuu kubadili oil na filter sio ishu hapo.plug air clener,check fuel filter,catalic converter,hydrolic ya gearbox n.k ndio mpango mzima .vyote vikiwa sawa gari lazima itakuwa powa ww huwezi fanya hivyo tafuta fundi mpelekee.lkn ukifika kwa fundi kuwa mpole sio unafika na kuanza kumwambia gari yangu haina nguvu nibadilishie plug 2 ndio tatizo lake.:)q
 
Hiyo fuel filter,washushe tank ya mafuta kuna kile kichujio kitakua na uchafu,watoe watupe jalalani na uweke nyingine,itakaa poa
 
Back
Top Bottom