Toyota Noah old model namba D inauzwa Dar es salaam

Toyota Noah old model namba D inauzwa Dar es salaam

Streetwinnercomputer

Senior Member
Joined
May 11, 2015
Posts
107
Reaction score
38
Toyota Noah ipo sokoni hiyo inataka 11.5 Mil ipo dar kwa aliye interested lipo magomeni kwa ukaguzi na kama utahitaji kuletewa sehemu yeyote ndani ya dar tunaleta ila unatuma pesa ya mafuta kwanza.mawasiliano 0712842283
fe5af2c3b701d6ecf358dddf14e6946d.jpg
 
kuna jamaa Jana alikuwa anataka ila alisema iwe kati ya Kilimanjaro au arusha Tafuta huo uzi ni Jana tu
 
Back
Top Bottom