Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 52
Heshima mbele Mods Ombi peleka kwenye Jukwaaa la matangazo nimekosea mkuu
tafadhali mkuu
Wakuu vipi au humu ndani watu tunauza sura tu. Yaani hakuna mwenye kuhitaji hiii?????????
Kuna jamaa amenipigia simu anasema anayo 17M nimekataa nimemwambia aongezee wakuu hakuna mwingineeee??
Jamani eee nimefika Milioni 17 mwenye kuitaka sasa
Kuna jamaa amenipigia simu anasema anayo 17M nimekataa nimemwambia aongezee wakuu hakuna mwingineeee??
Jamani eee nimefika Milioni 17 mwenye kuitaka sasa
Haa haa haaa!Si umuuzie huyo jamaa,,
mi najua bei ya noah ni milioni 12...
na hapa nilipo nina milion 10
kama vipi nichek
mkuu hiyo bei hapana....Hizo Picha ndio Zenyewe kabisa unachotakiwa wewe kuuliza KM 60000 na ipo nimeiweka ndani kwani nimeisajili na mimi mwenyewe nipo nje ya Nchi, kwahiyo atakayetaka anitafute tu nitampa COntact za jamaa ampe. Pia nimeilipia COmprehesive.haijatembea nimeipaki kwani mimi sipo Tanzania.karibuni
mkuu hiyo bei hapana....
jaribu kufanya research zako hata kwa kumtumia huyo jamaa.......
noah kama yako ni milion 10 tu........
ukiuza hiyo bei halafu HURRIER LEXUS iuzweje sasa mkuu?
Hapo penye Nyekundu hata ya mwaka 2001 hauzwi kwa bei hiyo fanya Research uone nilikujaga Tanzania nikatembea YArd zote bei zao zinaanzia milioni 16 mpaka 14M hii ya mwaka 2001 na hii ya mwaka 2002 New Model ilianzia milioni 22 mpaka 18M sasa wewe ulienda yard gani au umenunua kwa mtu au unataka kununua kwa mtu? nimekwambia Gari yangu imeingia na mimi bado hata kuendesha. au unataka niiweke Yard ununue kwa Milioni 22??? Acha bana Dharau katika Biashara. Tunachoangalia ni Ubora wa Gari na KM chache au wewe unataka kununua gari Km 200,000 kwa milioni 10 sasa hapo si wamekwiba pesa yako wewe ukitaka kuchagua gari angalia Km zisizidi laki moja hiyo gari mkataba miaka 5 ndio uende services. Siuzii shida mkuu. Unayo nunua Huna Ipotezeee. Tena nakushauri uingie www.prosper.com uwaulizie kuhusu mimi wananijua na pia ni mteja wao wa siku nyingi. na uangalie magari yao kisha uje na details hapa. Asante.
bei ipo juu sana mkuu! Kama nilivyokwambia me nnayo arusha ya mwaka 2000 niliagiza japan mwaka jana ina 820000 km kwa 11milion,nabebea abiria!
bei ipo juu sana mkuu! Kama nilivyokwambia me nnayo arusha ya mwaka 2000 niliagiza japan mwaka jana ina 820000 km kwa 11milion,nabebea abiria!