Toyota Mark X bei chee

Toyota Mark X bei chee

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Wadau salaam..ninauza Toyota Mark X mpya nimeitoa bandarini ijumaa kwa milioni 18 tu...ni ya mwaka 2006..automatic na rangi ni crystal white...namba zangu ni 0659300000..karibuni
 
Wadau salaam..ninauza Toyota Mark X mpya nimeitoa bandarini ijumaa kwa milioni 18 tu...ni ya mwaka 2006..automatic na rangi ni crystal white...namba zangu ni 0659300000..karibuni

Mkuu 18m sio bei chee japo showroom zinauzwa ghali zaidi ya hiyo 18m
 
Naupload pics shortly...plus price is negotiable...kuweni huru
 
Back
Top Bottom