Toyota Mark X 2006 inauzwa

Toyota Mark X 2006 inauzwa

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
611
Iko katika very good condition,ni ya mwaka 2006,imetembea Km 78,000 price ni 15,500,000/= maongezi yapo!kwa wale walio serious wani PM tafadhali
 
Iko katika very good condition,ni ya mwaka 2006,imetembea Km 78,000 price ni 15,500,000/= maongezi yapo!kwa wale walio serious wani PM tafadhali

imeingia lini tz???15m bei nzuri
 
6 yrs in Tz soil.....thats bad, unless uwe mtunzaji mzur....picture plz

Somehow u right mkuu ingawa upande mwingine i dont agree with u!gari kua na miaka mingi ndani ya Tz haimati sana,kinacho mata ni mtumiaji alikua vipi!i bought toyota rav 4 na ilikua na miaka zaidi ya 10 kwa Tanzania,lakini mpaka leo naitumia na iko safi kabisa!kinacho matter nadhani ni ukaguzi wa maana kabla ya kuinunua!
 
Picha itakuja mkuu,nita upload nikirudi mjini,maana niko safari kidogo!

yeah ungeweka na picha ingekuwa nzuri zaidi...hao wanaodai eti 6 yrs kwa tanzanian soil ni bad pia sikubaliani nao gari ni utunzaji tu mwingine gari mwaka mmoja haitizamiki kwa jinsi alivyo rough so isikukatishe tamaa....muhimu upload pics nadhani utapata mteja fasta
 
Mark x gari nzuri sana, my dream car! Ol da best hope utauza soon
 
Back
Top Bottom