TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
Somehow u right mkuu ingawa upande mwingine i dont agree with u!gari kua na miaka mingi ndani ya Tz haimati sana,kinacho mata ni mtumiaji alikua vipi!i bought toyota rav 4 na ilikua na miaka zaidi ya 10 kwa Tanzania,lakini mpaka leo naitumia na iko safi kabisa!kinacho matter nadhani ni ukaguzi wa maana kabla ya kuinunua!
najua mtu anayo hio gari since 2008 na bado iko safi kabisa engine na bodi....miaka sio issue....tena yako nimeona umeandika ina 78,000km hio bado saana,kama kuna mteja wa kweli atanunua tu