Toyota mark ii milion 2 Mwanza

Toyota mark ii milion 2 Mwanza

Beri ni nzuri kwa gari hiyo,maana kama sikosei ni Six hiyo.
Halafu usiombe gari iandikwe inauzwa kama ilivyowekwa hiyo makaratasi,yaani huwa inakaa muda kweli haijapata mteja sijui kwanini

Hapana hii Gari ni 4 sio 6 ,yani mafuta hapo inanusa haitumii mafuta kabisa
 
Back
Top Bottom