Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Hata ukinichukia.... mi nakupenda tu...
Mie sikupendi
Hata ukinichukia.... mi nakupenda tu...
Hata usiponipenda.... Mark II ya 2m bila betri inakuhusu.............:A S-rap:Mie sikupendi
Hapana bwana bora niendelee kutembelea tz 11 kuliko hilo jina
Hata usiponipenda.... Mark II ya 2m bila betri inakuhusu.............:A S-rap:
hahha na mvua hizi jaman si utaharib nywele hizo!!!
Nimeishanyoa sasa hivi nipo kama amber rose.....
brevis liliso na injini wapi na wapi, kamata Mark II. Betri ikileta ubwege mwanaume nakusukuma kwa nyuma weye huyooooooo.Sitakiiii mume wangu kaniambia mwakani atanininunulia brevis
mmh sikupatii picha na hilo shape thatha....
brevis liliso na injini wapi na wapi, kamata Mark II. Betri ikileta ubwege mwanaume nakusukuma kwa nyuma weye huyooooooo.
Kama huna utaalamu na magari njo na mtaalamu wa magari akague ukirizika tunafanya Biashara
Hapana banaaaa... Hata kama sina utaalamu wa magari, bado siwezi nunua gari kwa bei ya BOXER piki piki... Hapo kuna walakini...
Pata Toyota Mark II Kwa milioni 2 ipo hapa mwanza condition yake ni nzuri sana inahitaji betri tu.kama utahitaji nicheki Kwa 0788752672
npm tumalizane saiz mbona picha hujaweka
Hapana banaaaa... Hata kama sina utaalamu wa magari, bado siwezi nunua gari kwa bei ya BOXER piki piki... Hapo kuna walakini...
Mungu akutangulie MKUU Gari itapata MTU ndani ya wikijayo Mungu nimwaminifuView attachment 211957View attachment 211958View attachment 211959
Kazi kwenu bei bado ni milioni 2 tumliokuwa mnataka picha hizo hapo napatikana Kwa 0788752672
Nakubaliana na wewe Amu.Kaka acha tu...
Leo usiku naenda kuchukua gari kwa 1.8k ni kavitz ila kazima namba bjs kikubwa huyu bwana anahusika na magari na kila mwaka january anauza magari ili aagize mengine.
Hiyo 1.8k ni sababu ya dalali kataka cha juu ila hela yake halali ni 800,000.
january mwaka jana nlinunua kwake landcruiser vx v8 kwa 13million...
Haya mambo ya magari siyo kabisa
Nakubaliana na wewe Amu.
Mambo ya magari we ukitaka weka pesa standby tu,utauziwa bei mwenye uogope.
Maana mie juzi tu kuna mtu kaniletea Noah mbichi kabisaa anataka milioni sita tu.maana kuna gari zake zimekwama Bandarini.
Mbaya zaiidi kanikuta siko fresh.Watu wakabeba.