Yaani ununue skrepa kwa 2.5We jamaa ulikiwa bize kumponda zebanga watelanga hapa leo unatuletea takataka hapa ya mwaka 47
kaikate uuze spareGari ipo kawe police,imepata ajali kidogo engine 1g,
vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya.
Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi yapo..karibuni
View attachment 1671813
Gari ipo kawe police,imepata ajali kidogo engine 1g,
vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya.
Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi yapo..karibuni
View attachment 1671813

hahhahahahahUlikuwa unamponda dalali mmoja humu anauza alteza kumbe wewe ndo choka mbaya kabisa....
Hehehehehee JF bana