SASA HII LANDRUISER AMAZON ITAKUWA SAWA NA LANDCRUISER, GX, V8, AU HARDTOP? NAOMBA NIELEKEZA EXACTLY NI IPI KATI YA HIZOAmazon ni sawa tu na Toyota Land cruiser. Ila jina linabadilika kutokana na soko gari linapouziwa. Mfano Ulaya wanatumia Amazon wakati Japan wanatumia Landcruiser. Gari nyingine ni Nissan Navara kwa ulaya, South Africa wanatumia Hardbody wakati Japan na Marekani zinaitwa Frontier. Gari nyingine ni Hilux Surf kwa Japan wakati kwa Marekani ni 4Runner. So majina yanabadilika kulingana na dizaini hiyo...
Inategemea na mwaka mkuu v8 ni imekuja after vxSASA HII LANDRUISER AMAZON ITAKUWA SAWA NA LANDCRUISER, GX, V8, AU HARDTOP? NAOMBA NIELEKEZA EXACTLY NI IPI KATI YA HIZO
Amazon ni sawa tu na Toyota Land cruiser. Ila jina linabadilika kutokana na soko gari linapouziwa. Mfano Ulaya wanatumia Amazon wakati Japan wanatumia Landcruiser. Gari nyingine ni Nissan Navara kwa ulaya, South Africa wanatumia Hardbody wakati Japan na Marekani zinaitwa Frontier. Gari nyingine ni Hilux Surf kwa Japan wakati kwa Marekani ni 4Runner. So majina yanabadilika kulingana na dizaini hiyo...