Alisema polepole na video ziko youtubeHuku CCM hayo 'ma-viete' mpk wenyeviti wa kata wa chama chetu tumewanunulia.
Nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuuuuuuu.
Hawa walimshindisha mtu kibabe hivyo hakuna wa kuwagusa.Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam wamedai Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Lusubilo Mwakabibi ametumia ubabe kuilazimisha kamati ya zabuni kununua gari la mkurugenzi, Toyota Land Cruser XVR, kwa TZS milioni 470, huku manispaa ikikabiliwa na changamoto nyingi.
Naona wameanza kutafunana wao kwa wao, leo hii madiwani 'waliotangazwa' kibabe na wakurugenzi wanageuka 'kuwashughulikia' waliowapa 'ulaji'.Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam wamedai Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Lusubilo Mwakabibi ametumia ubabe kuilazimisha kamati ya zabuni kununua gari la mkurugenzi, Toyota Land Cruser XVR, kwa TZS milioni 470, huku manispaa ikikabiliwa na changamoto nyingi.
Uko wapi , nifanye mpango na mchizi wangu anayo nimuazime nikupe lift.. tutembee from Mkoa moja hadi mkoa mwingine kama km 800 hivi 😃Kwa anaefaham naomba kujua kwa uchache sifa za gari hili
Humphrey Polepole mshamba sana aiseehivi hii nayo ni V80??
Zinafukua balaaaaKwa anaefaham naomba kujua kwa uchache sifa za gari hili