Mugunga
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 640
- 908
Wadau naomba kufahamishwa.Haya magari nayapenda mno.Kuna moja nimeiona kwenye site ya Befoward ina taarifa zifuatazo
Year of manufacturer: 1998
Engine: 3378cc
Location: Japan
Price:$2,732/_
Kuna mambo nimekuwa nikijiuliza kuhusu gharama halisi za kuingiza gari kama hii:
1- Nitalipa kiasi gani mpaka gari niwe nayo mkononi?(shipping, taxes, registration na nyinginezo)
Hapa nahitaji ushauri wa mtu mwenye uzoefu wa kuingiza magari nchini au mtu wa bandarini mwenye uzoefu na mambo haya.
2-Suppose naingiza Gari hiyo ili niichukulie Bujumbura, au mkoa wowote wa Burundi ili kuepuka changamoto za kodi kubwa bandari yetu ya Dar,nitakutana na changamoto gani?Kuna mtu alishawahi kuagiza gari na kuipokelea nje ya bandari yetu na akafanikiwa?
3-Watu wamekuwa wakikosoa juu ya ubora na uimara wa magari haya.Nataka kusikia kutoka kwa mtu mwenye nalo,analionaje?Ni kweli huwa yanachomoka matairi?
Asanteni. Nitafurahi iwapo wenye uzoefu watanijibu.