Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 21,757
- 44,573
Sasa itakuaje kwa wale wa used na unakuta tayari lipo bongo?πWamesema gari ikiwa na tatizo kwenye gear box haionyeshi kwenye dashboard kitu kinachopelekea dereva kuendelea na safari na baadae kuweza kupasua block na ikivuja oil gari ikiwa kwenye mwendo inaweza kupelekea gari kuwaka moto..
Anarudisha kwa agent aliemuzia ndio anabaki na taarifa za mununuzi wa kwanza likirudi SA wanatengeneza bure swala la kuleta Tanzania inakua juu yako maana ukipeleka Toyota Tanzania watataka ulipie gharama.Sasa itakuaje kwa wale wa used na unakuta tayari lipo bongo?π
Hilo tangazo linahusu gari mpya zilizouzwa JanuarySasa itakuaje kwa wale wa used na unakuta tayari lipo bongo?π
Tangazo linahusu gari za Jan 2025 mpaka Jan 2026 ni mwaka hapo nishawahi kununua Toyota mwaka juzi jamaa alinunua gari jipya akarudisha Toyota akapewa mpya akaongeza mkopo kwa hiyo lile lililokuwa na 2000km lilinunuliwa kama used jamaa ana hoja na hayo magari yapo mengi SA.Hilo tangazo linahusu gari mpya zilizouzwa January
Tangazo linahusu gari za Jan 2025 mpaka Jan 2026 ni mwaka hapo nishawahi kununua Toyota mwaka juzi jamaa alinunua gari jipya akarudisha Toyota akapewa mpya akaongeza mkopo kwa hiyo lile lililokuwa na 2000km lilinunuliwa kama used jamaa ana hoja na hayo magari yapo mengi SA.
Kwa walionunua wakavuka mipaka ndio itawacost kidogoToyota SA wametangaza leo LC 300 zilizonunuliwa kuanzia 16 January 2025 mpaka 18 January 2026 ambazo ziliuzwa karibu Cruiser 1846 zilirudi kwa ajili ya matengenezo baada ya kugundulika kuwa na changamoto kwenye 10 speed gear shift..
Wametoa angalizo kuendelea kutumia hilo gari bila kurudishwa kwa matengenezo zaidi ni gari kuungua moto ikiwa kwenye mwendo au engine kupasuka na kuwaka moto..
Angalizo hii ni kwa LC 300 zilizouzwa SA tu kwa kipindi hicho..
Kama ipo nje ya SA hiyo inatakiwa irudi na nyingi zimekuja Tanzania pia.Kwa walionunua wakavuka mipaka ndio itawacost kidogo