Jumaaofficial
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 250
- 210
Sijaona gari zuri hata moja
Ngoja wenye gereji wapate Risk zao
Ngoja wenye gereji wapate Risk zao
Naona mnataka kumuungisha na gereji awe mteja wa kudumu,
haya bana
Habari zenu wote?
Nahitaji kunununua gari tajwa hapo juu, iwe ni macho panzi yenye dash board ndogo na iwe kwenye hali nzuri.
Kama unayo njoo PM
Asante.
Sina Mkuu wangumkuu huna dili la hilux d4d, manual 2012 yom 2.5L? inahitajika