Nissan Patrol wao walipunguza size ya Engine kutoka 4.8L kwenda Nissan Patrol TI Y61 3.0L Turbo kwa diesel. Wali-maintain injini kubwa za 5.6 Litre na cylinder 8 kwa hizi mpya Nissan Patrol TI Y62 Series ambazo hadi sasa wanatoa za petrol tu. Ila sasa kwa mtu wa kawaida, huziwezi, maana zinakula mafuta hadi unalia! Wanaonunua ni watu wenye pesa ambao haoni taabu kujaza full tank kwa Tshs 300,000!Toyota wataacha kutengeneza gari model V8 kufikia 2021. Sababu kubwa ni ukubwa wa engine na uchafuzi wa mazingira especially diesel emissions.
There is a slim chance the V8 could win a stay of execution given Australia's emissions standards are a decade behind Europe's, however it's unlikely Toyota would invest extra engineering resources into an old engine with a limited lifespan.
Dah!
Zisi izi veri Sadi nyuzi
so ndoto zangu za kuinunua nikistaafu zinazimwa rasmi 2021
Polen mnoo yaaniNitaiuza Vi8 yangu 2021
Asante sana Mdogo wanguPolen mnoo yaani
Vipi mkuu ulitaka uichukue nnazo kama tatu hapaDah!
Zisi izi veri Sadi nyuzi
OKAY SASA NATAKA GARI ZOTE ZA SERIKALI ZISIZIDI CC 2000 IWE MWISHO SASA KUTUMIA 2022 .Toyota Is Canceling The Land Cruiser In 2022 And It's About Time
It’s no secret the current generation Toyota Land Cruiser, which has been in production since 2007 and only received a mild refresh in 2016, is an outdated piece of machinery. At $85,000, it’s arguably overpriced as well.www.forbes.com
Kuendesha gari kama tesla sidhani kama kuna mzuka kwa mtu kama wewe unayependa amsha amsha ya forester hahah maana tesla ni too smooth,haina mambo yetu yale.Hii technology ya kutumia diesel engine na petrol inaenda ukingoni..
Kuna baadhi ya nchi za ulaya wameweka malengo Yao ikifika 2025 waanze kutumia Magari ya Umeme na gas(hybrid)
Kweli kabisa Mkuu. Ila hata Landcruiser nadhani wanapotezea kwenye muungurumo. Utakuta kuna Prado za sasa, muunguromo wake I say, utafikiri Power Tiller!Watengenezaji sidhani kama wanajua "uniqueness" ya sauti ya engine zilivyo na ushawishi kwa wateja kununua!Nissani wamepoteza sana "peculiarity" kwa upande muungurumo,Leyland,LL,na wengine wengi....kwa LC wamejitahidi kumaintain
Ni kama mlio wa Landcruiser V8 200 series diesel au Subaru...Watengenezaji sidhani kama wanajua "uniqueness" ya sauti ya engine zilivyo na ushawishi kwa wateja kununua!Nissani wamepoteza sana "peculiarity" kwa upande muungurumo,Leyland,LL,na wengine wengi....kwa LC wamejitahidi kumaintain
Utanunua iliyotumika mkuuso ndoto zangu za kuinunua nikistaafu zinazimwa rasmi 2021