TOYOTA IST (URBAN CRUISER) 2008

Ukaridayo

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
507
469
Wakuu,

hii gari nimeielewa sana kuanzia muundo wake wa nje, ndani naperformance yake...
nimeona ya 2WD(inayovuta mbele) inakwenda 100KM kwa 4.7L na ile ya AWD(mbele na nyuma) inatembea 100KM kwa 5.5L

ktk toleo la hizi gari zipo za aina mbili zile za diesel ambazo ni Manual, na zile za petrol ambazo Auto.

Zile za petrol nimeziona zikiwa zimefungwa engine za 1NZ zenye VVTi kitu ambacho kwangu mimi naziona zimequalify ktk situation ya uchumi wetu wa sasa hasa kwa sisi wenye vipato vya kawaida.

Tofauti ya gari hii na Toyota T.i (saloon) kwangu mimi ni kwenye boot gari zenye boot nje kwakweli zimekuwa zikinipa wkt mgumu sana mana wakati huohuo nilkuwa natafuta mbadala wake ktk gari zenye boot ndani (Hatchback) inayokaribiana kiviwango.

Toleo hili lipo tofauti sana na lile la mwanzo, wanasema............
It slots below the Toyota RAV4 to compete against small crossover SUVs like the Nissan Qashqai and Kia Soul, while also attracting buyers of mainstream family hatchbacks.
Hebu tuitazame ktk picha.
 
Attachments

  • BF554560_306143.jpg
    BF554560_306143.jpg
    4.3 KB · Views: 197
  • ist 2008.jpg
    ist 2008.jpg
    29.1 KB · Views: 203
  • ist.jpg
    ist.jpg
    21.8 KB · Views: 183
  • ist..jpg
    ist..jpg
    26.1 KB · Views: 198
  • BF554560_6b1f88.jpg
    BF554560_6b1f88.jpg
    4.5 KB · Views: 169
  • BF554560_6392aa.jpg
    BF554560_6392aa.jpg
    4.5 KB · Views: 180
  • BF556975_8b70dc.jpg
    BF556975_8b70dc.jpg
    3.2 KB · Views: 170
  • BF554560_24b4ab.jpg
    BF554560_24b4ab.jpg
    4.9 KB · Views: 170
Wakuu,

hii gari nimeielewa sana kuanzia muundo wake wa nje, ndani naperformance yake...
nimeona ya 2WD(inayovuta mbele) inakwenda 100KM kwa 4.7L na ile ya AWD(mbele na nyuma) inatembea 100KM kwa 5.5L

ktk toleo la hizi gari zipo za aina mbili zile za diesel ambazo ni Manual, na zile za petrol ambazo Auto.

Zile za petrol nimeziona zikiwa zimefungwa engine za 1NZ zenye VVTi kitu ambacho kwangu mimi naziona zimequalify ktk situation ya uchumi wetu wa sasa hasa kwa sisi wenye vipato vya kawaida.

Tofauti ya gari hii na Toyota T.i (saloon) kwangu mimi ni kwenye boot gari zenye boot nje kwakweli zimekuwa zikinipa wkt mgumu sana mana wakati huohuo nilkuwa natafuta mbadala wake ktk gari zenye boot ndani (Hatchback) inayokaribiana kiviwango.

Toleo hili lipo tofauti sana na lile la mwanzo, wanasema............
It slots below the Toyota RAV4 to compete against small crossover SUVs like the Nissan Qashqai and Kia Soul, while also attracting buyers of mainstream family hatchbacks.
Hebu tuitazame ktk picha.

Hii gari nzuri. Bei yake ikoje kwa yard za bongo na kama Utaagiza Japan .???
 
KWA YARD ZA BONNGO NI 26M HAPO ILA UKIAGIZA NA KAMPUNI YETU UTAPATA KWA 22MILLION

Japanese Used Cars Stock List | Autocom Japan
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...

Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.

Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200

Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200 ...

Kuna moja inauzwa dola 3147
Ambayo ni sawa na 6,851,019Tsh + 5,236,588 TRA= 12,087,607 Tsh.
 
Mmh!! Inaweza ikawa mbovu!!
 
Dah!kwa bei hyo wengi wangenunua hizo mpya kuliko zile za mwanzo!hHata mimi nijuavyo hizo gari 20+ m.
 
Mkuu hebu fafanua isijekuwa mimi ndiyo sielewi... Ina mana used ndiyo hiyo bei 20ml+

Sizungumzii new brand nataka kujua bei ya mtumba from japan to dsm mpk barabarani je ni kwa bei hiyo kweli???

Nifahamishe please.
 
Ndio mkuu ni used sio brand new!ila endelea kufanya utafiti!
 
Nahisi unaongelea gari tofauti, mambo ya toyota hayo unachanywa na muundo lakini hii ni toyota urban cruiser. Na sio IST
Ndugu angalia hiyo picha vizuri iliyopigwa kwa nyuma... IST model
 
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...

Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.

Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200

Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...

Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.

Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200 ...

Kuna moja inauzwa dola 3147
Ambayo ni sawa na 6,851,019Tsh + 5,236,588 TRA= 12,087,607 Tsh.

kwenye maisha yako kwanza utambue cif ya kuagiza gari ikiwa kubwa kuliko cif ya TRA jua kwamba hiyo amount total ya tra utalipia zaid ...so meaning approximation za calculator zina error..ndo mana magari mengi yanapigwa mnada watu wanashindwa lipia
 
Hiyo gari ni full electronics mkuu. Kwa mazingira yetu huku bongo inabidi uwe makini kabla hujafanya decision ngumu
 
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...

Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.

Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200

Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...

Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.

Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200 ...

Kuna moja inauzwa dola 3147
Ambayo ni sawa na 6,851,019Tsh + 5,236,588 TRA= 12,087,607 Tsh.
Hawa jamaa wanaoagizia watu magari wanapiga sana watu..
Ukiwa mvumilivu uagize mwenyewe unaokoa pesa nyingi tu
 
Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...

Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.

Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200

Mkuu mbona hiyo bei uliyoitaja inanipa ukakasi...

Ushuhuru wa hii kitu kwenye kikokotozi cha TRA kinasoma 5,236,588 kodi ya magufuli.

Beforward bei zao zinarange USD 3,100 mpk 3200 ...

Kuna moja inauzwa dola 3147
Ambayo ni sawa na 6,851,019Tsh + 5,236,588 TRA= 12,087,607 Tsh.

Umeangalia Vibaya mkuu.... hizo bei zake ni 20M+
 
Hapo ndipo ninaposhangaaga vipi kuhusu

Cc ya hii gari? Mana ina cc ndogo iweje iruke mpk 20m+

Model hiyo ujue ni ya siku nyingi imetoka zaidi ya miaka 10 now.. kama ni uchakavu mbona bei juu?

Kwa bei hiyo bora uchukue harrier ya 2002 yenye cc 2360 yenye mzigo wa vvti ama rav4 milango 5 cc750 yenye vvti pia..
 
Cc 750?hamna kitu kama hicho mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom