Toyota IST Inahitajika iwe no D au C

Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
882
1,029
Habar wana jamvi nahitaji Gari aina Toyota IST bajeti Yangu Ni milioni 6

Gari iwe na hali nzuri kama unAyo ni Pm kwa mawasiliano zaidi mimi nipo Dar es salaam....
 
Short and clear. Umejieleza vizuri mkuu. Hakikisha una mafundi wakukagua gari vizuri. Jiandae kupokea utitiri wa magari.
 
ipo ya muhindi, ilikua inapeleka shule watoto tu,
imetembea km 55, 000
number CFP
price 7.5m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom