ngota wa nzambe Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 123 Reaction score 139 Nov 29, 2020 #1 Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho! Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho! Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Nov 29, 2020 #2 Lakini umefika salama
ngota wa nzambe Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 123 Reaction score 139 Nov 29, 2020 Thread starter #3 Lee said: Lakini umefika salama Click to expand... Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa
Lee said: Lakini umefika salama Click to expand... Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa
vipik2 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,853 Reaction score 2,270 Nov 29, 2020 #4 ngota wa nzambe said: Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa Click to expand... Tafuta Toyota Levin hutajilaumu
ngota wa nzambe said: Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa Click to expand... Tafuta Toyota Levin hutajilaumu
ngota wa nzambe Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 123 Reaction score 139 Nov 29, 2020 Thread starter #5 vipik2 said: Tafuta Toyota Levin hutajilaumu Click to expand... Inaweza ligi za highway mkuu?
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Nov 29, 2020 #6 ngota wa nzambe said: Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa Click to expand... Ulikuwa hujajipangaa kisaikolojiaa kabla ya safari mkuu?
ngota wa nzambe said: Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa Click to expand... Ulikuwa hujajipangaa kisaikolojiaa kabla ya safari mkuu?
Boeing 747 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 3,517 Reaction score 9,438 Nov 29, 2020 #7 Sawa Tafuta NISSAN GTR...
vipik2 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,853 Reaction score 2,270 Nov 29, 2020 #8 ngota wa nzambe said: Inaweza ligi za highway mkuu? Click to expand... Kwanza kuipata ni taabu
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,542 Reaction score 2,474 Nov 29, 2020 #9 Kwaio ulikua unashindana na magari yenye cc 2000+??!!
ngota wa nzambe Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 123 Reaction score 139 Nov 29, 2020 Thread starter #10 Mr Confidential said: Kwaio ulikua unashindana na magari yenye cc 2000+??!! Click to expand... Nilikuwa nakimbizana na mav8 mkuu..ligi ikanishinda
Mr Confidential said: Kwaio ulikua unashindana na magari yenye cc 2000+??!! Click to expand... Nilikuwa nakimbizana na mav8 mkuu..ligi ikanishinda
ngota wa nzambe Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 123 Reaction score 139 Nov 29, 2020 Thread starter #11 Boeing 747 said: Sawa Tafuta NISSAN GTR... Click to expand... Huyu mnyama huwa namsikia sikia..hebu nifunue akili kidogo.juu yake mkuu
Boeing 747 said: Sawa Tafuta NISSAN GTR... Click to expand... Huyu mnyama huwa namsikia sikia..hebu nifunue akili kidogo.juu yake mkuu
ngota wa nzambe Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 123 Reaction score 139 Nov 29, 2020 Thread starter #12 Lee said: Ulikuwa hujajipangaa kisaikolojiaa kabla ya safari mkuu? Click to expand... Nilijiandaa sana kaka, ila nashangaa ninavyoumia
Lee said: Ulikuwa hujajipangaa kisaikolojiaa kabla ya safari mkuu? Click to expand... Nilijiandaa sana kaka, ila nashangaa ninavyoumia
vipik2 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,853 Reaction score 2,270 Nov 29, 2020 #13 vipik2 said: Kwanza kuipata ni taabu Click to expand... Zipo ila bei sasa hivi mhhh
SMU JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 9,613 Reaction score 7,901 Nov 29, 2020 #14 But kwa mafuta ipo poa sana....naamini umetumia karibu nusu gharama ya mafuta waliotumia hao wanaligi wenzio.
But kwa mafuta ipo poa sana....naamini umetumia karibu nusu gharama ya mafuta waliotumia hao wanaligi wenzio.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,566 Reaction score 105,388 Nov 29, 2020 #15 Ebu njoo hapa club chiller ili nikupe pole na michongo ya hapa Kahama town..
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,801 Reaction score 43,177 Nov 29, 2020 #16 Your browser is not able to display this video. Niwapo barabarani baada ya kuhakiki usalama wa nnapopita na nnakoelekea, ndani ya chombo changu ni mimi na mziki. Hulka yangu na huyo dada ni asilimia 500. Hivyo wanaoniovateki hawanisumbui hata. K Matata.
Your browser is not able to display this video. Niwapo barabarani baada ya kuhakiki usalama wa nnapopita na nnakoelekea, ndani ya chombo changu ni mimi na mziki. Hulka yangu na huyo dada ni asilimia 500. Hivyo wanaoniovateki hawanisumbui hata. K Matata.
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,542 Reaction score 2,474 Nov 29, 2020 #17 ngota wa nzambe said: Nilikuwa nakimbizana na mav8 mkuu..ligi ikanishinda Click to expand... Hahaha sawa mkuu
ngota wa nzambe said: Nilikuwa nakimbizana na mav8 mkuu..ligi ikanishinda Click to expand... Hahaha sawa mkuu
Boeing 747 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 3,517 Reaction score 9,438 Nov 29, 2020 #18 ngota wa nzambe said: Huyu mnyama huwa namsikia sikia..hebu nifunue akili kidogo.juu yake mkuu Click to expand... pata idea kidogo hapa
ngota wa nzambe said: Huyu mnyama huwa namsikia sikia..hebu nifunue akili kidogo.juu yake mkuu Click to expand... pata idea kidogo hapa
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16,352 Reaction score 22,958 Nov 29, 2020 #19 ngota wa nzambe said: Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa Click to expand... Ligi ya nini kaka ?!. Kwanza mafuta umetumia nusu ya wao
ngota wa nzambe said: Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa Click to expand... Ligi ya nini kaka ?!. Kwanza mafuta umetumia nusu ya wao
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,225 Reaction score 69,778 Nov 29, 2020 #20 Lee said: Ulikuwa hujajipangaa kisaikolojiaa kabla ya safari mkuu? Click to expand... Naunga Mkono Hoja VVTi Hiyo Iko Sawa
Lee said: Ulikuwa hujajipangaa kisaikolojiaa kabla ya safari mkuu? Click to expand... Naunga Mkono Hoja VVTi Hiyo Iko Sawa