Si kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi kama Greece land. Zimepita model nyingi.
Tunamalizia enzi za Harrier TAKO LA NYANI zimechuja haraka baada ya nyingi kupiga chini.
TOYOTA crown bado iko juu lakini nayo inaendelea kuchinja watu. Simlaumu mjapani katengeneza kwa matumizi yake na taratibu zake. Huku hatuzingatii hili kabisa
Mwisho tunaishia kulaumu na kusema TOYOTA hizi lakini pamoja na kuwa na viwango vidogo vya usalama kulinganisha na gari za ulaya bado tatizo ni letu sisi wenyewe.
ELIMU JUU YA VYOMBO VYA MOTO hasa gari nyepesi za kijapani tumepoteza damu changa nyingine Kabuku. Damu ya Rchunga... Rip [emoji1019] View attachment 1105974View attachment 1105975View attachment 1105976
Speed kubwa bila kujali hali/usalama wa barabara ajali zipo pale mkuu.Je speed kubwa na kuto kuwa makini barabarani kwa gari ya mjerumani huwezi kupata ajari??
Funguka zaidi tuweze kujifunza kuhusu hizi gari za mjerumani cc: Mshana Jr
Pole yake. Sometimes you stick to the rule and one idiot just rams you!Ndiyo mkuu akawa hana namna
Ahsante sana.nimemaanisha kwenye stability ya gari ikiwa kwenye mwendo lakini pia body la gari kidogo ni gumu hivyo kuna chance kiasi ya survival pindi ajali ikitokea.
Tatizo mzee wangu mshana halipo kwenye gari Bali lipo kwa watumizi wa magari (Madereva) hivi kwani ukiendesha gari kwa umakini wa hali ya juu kabisa unapokuwa njiani na kuendesha kwa "speed" ya kistarabu unahisi yatatokea hayo, ila pia tukumbuke kuwa Kila mtu amepangiwa na MwenyeziMungu yakuwa vipi ataondoka (kufa) katika hii dunia, na wapi roho yake itatoka na wakati gani. Jambo lamuhimu ni kuzingatia utaratibu mzuri wa kuendesha magari na Sheria za Barabarani.Si kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi kama Greece land. Zimepita model nyingi.
Tunamalizia enzi za Harrier TAKO LA NYANI zimechuja haraka baada ya nyingi kupiga chini.
TOYOTA crown bado iko juu lakini nayo inaendelea kuchinja watu. Simlaumu mjapani katengeneza kwa matumizi yake na taratibu zake. Huku hatuzingatii hili kabisa
Mwisho tunaishia kulaumu na kusema TOYOTA hizi lakini pamoja na kuwa na viwango vidogo vya usalama kulinganisha na gari za ulaya bado tatizo ni letu sisi wenyewe.
ELIMU JUU YA VYOMBO VYA MOTO hasa gari nyepesi za kijapani tumepoteza damu changa nyingine Kabuku. Damu ya Rchunga... Rip [emoji1019] View attachment 1105974View attachment 1105975View attachment 1105976
😥😥ukisema ujitembelee zako kwa miguu tuu kuepuka hayo,bado mjapani anaweza akaacha njia akakufuata hukohuko uliko...
Duh[emoji47]! RIP! [emoji848] kaingia uvunguni ama
Apumzike kwa amani.
Gari linatabia kama za baiskeli ukishalizoea huoni cha kukutisha unajikuta umekuwa Expert suddenly matokeo yake ndio hayo.
Tuwe makini na haya madude kuna jamaa yetu mmoja aliizoea sana Toyota Land cruiser ya jeshi fulani hata akawa anafanya THE IMPOSSIBLE matokeo yake sasa hivi anajua aliko yeye mwenyewe.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe 😥
Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
kuna ka neno kanatumika ''kasahani'' sijui kanamaanisha nini?
Gari za kijapan zimetengenezwa simple sana hasa hizi salon... Unakuta gari uzito wake ni tani moja tu... Na haina reinforcement za uhakika.... Mjerumani kaunda kitu cha maana hasa... Unakuta gari ndogo uzito wake tani 3 imewekewa vyuma vya maana... Niliwahi kupinduka na moja darajani hii njia ya Msata, nikatua chini darajani kichwa chini mijuu guu lakini sikutoka hata na jeraha na gari haikuumia kivile... Ingekuwa Toyota leo hii ingekuwa nakula kipupwe akheraJe speed kubwa na kuto kuwa makini barabarani kwa gari ya mjerumani huwezi kupata ajari??
Funguka zaidi tuweze kujifunza kuhusu hizi gari za mjerumani cc: Mshana Jr
Dah huyu jamaa namfahamu anaitwa shaibu Jumbe (facebook alikuwa akijiita shayb Jumbe) alikuwa fundi magari maeneo ya Sinza, kaoa hata mwezi ndoa haijamaliza, yote kwa yote tunavyoendesha vyombo vya moto tuzingatie sheria za barabarani na tukumbuke majukumu tuliyo nayo na tumuombe Mungu sana atulinde dhidi ya watumiaji wengine wa barabaraSi kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi kama Greece land. Zimepita model nyingi.
Tunamalizia enzi za Harrier TAKO LA NYANI zimechuja haraka baada ya nyingi kupiga chini.
TOYOTA crown bado iko juu lakini nayo inaendelea kuchinja watu. Simlaumu mjapani katengeneza kwa matumizi yake na taratibu zake. Huku hatuzingatii hili kabisa
Mwisho tunaishia kulaumu na kusema TOYOTA hizi lakini pamoja na kuwa na viwango vidogo vya usalama kulinganisha na gari za ulaya bado tatizo ni letu sisi wenyewe.
ELIMU JUU YA VYOMBO VYA MOTO hasa gari nyepesi za kijapani tumepoteza damu changa nyingine Kabuku. Damu ya Rchunga... Rip [emoji1019] View attachment 1105974View attachment 1105975View attachment 1105976
Kwani Japan wanatengeneza Ngao au wanatengeneza Magapi?
Drive at your own risk.
[5/23, 21:58] Thomas: Rafiki yangu huyu jamaa anaishi sinza,last week niliwasiliana naye tukakubaliana tuonane ni fundi mzuri sana wa magari,crown ni yake siku nyingi alikua safarini leo ndo akapata ajalitatizo vijana wakishamilikia haya magari wanakua jeuri wanataka waonekane machampioni wa speed 120 kwenye kona shaaaaaa,mwisho USO kwa USO na roli la mchanga
R.I.P kijana dreva wa crown athlete
Well noted. AhsanteNiliwahi kupinduka na moja darajani hii njia ya Msata, nikatua chini darajani kichwa chini mijuu guu lakini sikutoka hata na jeraha na gari haikuumia kivile... Ingekuwa Toyota leo hii ingekuwa nakula kipupwe akhera
Ni kweli,. mimi tangu niuze ya German na kuingia Japan siendi zaidi ya mia!! Japan hovyo kabisa kwenye usalamaGari za kijapan zimetengenezwa simple sana hasa hizi salon... Unakuta gari uzito wake ni tani moja tu... Na haina reinforcement za uhakika.... Mjerumani kaunda kitu cha maana hasa... Unakuta gari ndogo uzito wake tani 3 imewekewa vyuma vya maana... Niliwahi kupinduka na moja darajani hii njia ya Msata, nikatua chini darajani kichwa chini mijuu guu lakini sikutoka hata na jeraha na gari haikuumia kivile... Ingekuwa Toyota leo hii ingekuwa nakula kipupwe akhera
Gari zip hizo mkuu.....!? Kuna jamaa aliniambia gari za kimarekani nzuri Sana ila mafundi ndo hamna bongo.....hi imkaaje wakuu ...Toyota za Kimarekani mwisho wa kazi speed 220 na hata ugonge jiwe itachubuka tu na kimkunjo kidogo..... hizi gari za mchina inagonga boda Boda inakanika vipande viwiliView attachment 1106081