OVERTAKING!Si kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi kama Greece land. Zimepita model nyingi.
Tunamalizia enzi za Harrier TAKO LA NYANI zimechuja haraka baada ya nyingi kupiga chini.
TOYOTA crown bado iko juu lakini nayo inaendelea kuchinja watu. Simlaumu mjapani katengeneza kwa matumizi yake na taratibu zake. Huku hatuzingatii hili kabisa
Mwisho tunaishia kulaumu na kusema TOYOTA hizi lakini pamoja na kuwa na viwango vidogo vya usalama kulinganisha na gari za ulaya bado tatizo ni letu sisi wenyewe.
ELIMU JUU YA VYOMBO VYA MOTO hasa gari nyepesi za kijapani tumepoteza damu changa nyingine Kabuku. Damu ya Rchunga... Rip [emoji1019] View attachment 1105974View attachment 1105975View attachment 1105976
Duh gari inakusanyikaHao ni wajep... Wazungu bado usalama wanaupa kipaumbele hasa kile kipande wanachokaa watu... Angalia picha za body frame nilizoweka... Angalia na ya Volvo aliyoweka RRONDO kamwe huwezi kufananisha na hii chassis body ya MjepView attachment 1106313View attachment 1106314View attachment 1106315
Watu huwa wakiwa kwenye gari hawawez kuelewa nje spidi inavyochomoka, ndani wanaona wako stable smooth riding wakati nje iko spidi, wakija kushtuka wafanye decision dk 0 hapo ndo roho inachomokaga fastaMi Naona Hapa cha Kuzingatia Ni Umakikini tu, Hizi Ishu Sijui Mjerumani, Sijui Muingereza ni Story za Vijiweni tu, Huyo Mjapan Mwenyewe kummiliki Jasho la Meno linakutoka ( Hapa Sizungumzii wale Famila Bora na Waendesha Magari Ya Shemeji )
Kwani mjerumani ukipigwa uso kwa uso haudanji ama gari haibonyei. Kifo ni kifo tuNdo maana naomba Mungu abariki kazi za mikono yangu ili kupata money niachane na mjapani nihamie kwa mjerumani!
Japo all in all siku zikifika bwana anamtwaa mja wake bila kujali chombo ni cha mjapani au la!
RIP young blood!
Kazi IPO !!![emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
Kila mtu atakufa kwa wakati wake na sababu ya kifo hicho amna anaejichagulia so ukifahamu hayo huna haja ya kuwa muogaAjali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
itapendeza ukijiandikia kabisa & uzi wako wa RIP mapema kurahisisha kazi...Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
Crown iko balanced kuliko toyota nyingi za sedan. Naweza sema kuliko hata Mark X. Crown inafata tabia za Lexus kwa kiwango kikubwa tu. Kwahio stability sio shida ila jamaa inaonekana aliemgonga alivutia kwake. Tabia ya kishenzi ya watu ku overtake kwenye blindspot ama kukadiria gari linalokuja usoni ndio husababisha hayaDawa ni kununua Toyota yenye stability ya treni na spidi ya ndege, namaanisha mnyama, sio hizo karatasi nyepesi
hakika!Crown iko balanced kuliko toyota nyingi za sedan. Naweza sema kuliko hata Mark X. Crown inafata tabia za Lexus kwa kiwango kikubwa tu. Kwahio stability sio shida ila jamaa inaonekana aliemgonga alivutia kwake. Tabia ya kishenzi ya watu ku overtake kwenye blindspot ama kukadiria gari linalokuja usoni ndio husababisha haya
Bongo tatizo ni highways, nilishaandikaga sana humu. Shida ni njia finyu na mkidhani kudhibiti speed ndio suluhisho ni kwamba amsuluhishi ila ni sawa na kujaribu kuzuia harufu ya ushuzi kwa kukalia godoro. Baada ya mda harufu itatoka tuNdio maana nikasema TOYOTA zisilaumiwe sana hatuna highways
Hahaaa eti kondom,,Ko jamaa kimbito[emoji40][emoji40]Mkongwe wewe.. Kweli kondom zimesaidia wengi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahah ati niniii, Brevis ni stable kuliko crown? πππBado wewe na Brevis yako. Unaona Brevis stable kuliko Crown! Ngedere na tumbili dugu moja.
Tabia ya madereva wa bongo nyingi zinafanana. Mambo ya kukadiria gari inayokuja usoni eti unataka uikate semi trailer kabla gari ya mbele haijakukuta. Matokeo ndio hayo, haraka inakuwaisha kaburiniHuwa nawaambia tabia zenu za kishenzi barabarani ndio maana malori yanawamaliza highway
π€ π€ hoja fikirishi hiiPicha inamuonyesha marehemu kabla ya ajali,na baada ya ajali...swali MPIGA picha kabla ya ajali nani? maana hii picha inaonyesha imepigiwa kati kati ya safari na marehemu hakuwa peke ake kuna mtu alikua nae na ndie alie mpiga picha,swali ni picha nani kazipiga Hasa hyo ya kwanza marehemu akiwa hai.
Huku mjini anaovateki bila kuangalia anakuwashia taa unampisha,tabia hujenga mazoea wakienda highway malori yanawanyooshaTabia ya madereva wa bongo nyingi zinafanana. Mambo ya kukadiria gari inayokuja usoni eti unataka uikate semi trailer kabla gari ya mbele haijakukuta. Matokeo ndio hayo, haraka inakuwaisha kaburini