Toyota harrier kwa bongo bei gani,nahitaji

Toyota harrier kwa bongo bei gani,nahitaji

Na mimi nafatilia apa kwa ukaribu. Unaweza kupata a rough pic ya bei.mtandaoni pia

Ila kama walivosema wengine zinarange kuanzia huko 15m na28 kutegemea mwaka.na hali ya gari. But with 18m unaweza kupata nzuri hata kama ya miaka ya nyuma but ina hali nzuri na ni Harrier

Dogo na wewe unataka kuvuta mchuma huo níni..!? cheki hapo juu then nitafute..
 
Nitafute, Harrier ya mwaka 2001,Auto,CC 2390 Rangi ya Silver, Mileage 70,000kms, haijatumika bongo na inatoka bandarini kesho tar. 26 August. Bei Mil.21 kamili. If interested call 0658192116

Safeeyy...kula kitu cha 18M.....lol (ukiwa Mwenyekiti lazima kuwe na discounts bana)...
 
Mkuu unaweza pata ya show room kwa 25m ya mwaka 2000 - 2002 , pia zipo za mkononi number B unapata kwa 15 - 17 , kama utahitaji ya mkononi unaweza niona mi ni dalali 0685 31 23 26
 
Nina mahitaji ya gari aina yaToyota harrier lakini kwa kuwa humu kuna wadau wa haya mambo na waliowahi kutumia wanisadie hasa kwa issue ya bei kwa tz sh,fuel consumption,kupatikna kwa vipuri nk,sitaki kuagiza gari nje,nimeishalizwa,nanunua hapa hapa.Najua ninaweza kutopata za rangi hizi lakini nataka aina hiyo,wauzaji kazi kwako.Bei isiwe katika USD iwe katika sh na specification zake

Mkuu ni PM ipo 23M iko katika mazingira mazuri kabisa. haijachoka.....!!!
 
Kweli mkuu. Harrier kama aliyoonyesha hauwezi kuipata hata kwa 20m. Anzia 28m na kuendelea. Kama utaikuta mtu anauza chini ya 20m basi hiyo ni ya miaka ya 90 na itakuwa imechoka sana. Ila hizo gari ni nzuri,uki drive ni kama ndege flani hivi!

ushawahi kuendesha ndege...... ha ha napita tu
 
Harrier kwa milioni 18, Itakuwa ya mwaka 96/98

Harrier kwa milioni 18, Itakuwa ya mwaka 96/98
Mimi ninayo ya mwaka 2000 nauza kwa bei pungufu ya hiyo. Tafuta fundi wako unaemwamini ama ambae anaaminiwa na watu uje uikague uone kama utaiacha. Achana na assumptions, focus katika kitu unachokitaka, ukifuata mawazo mengi utachanganyikiwa.
 
images


Mwenye Hii kitu MANUAL Transmission na-PM Bei na specifiacations zake
 
bongo bwana! kumbe wauzaji wengi ni madalali,wala hawana magari,wanategemea wewe na wao waanze kutafutwa.

hili taifa kumbe bure kabisa!
 
bongo bwana! Kumbe wauzaji wengi ni madalali,wala hawana magari,wanategemea wewe na wao waanze kutafutwa.

Hili taifa kumbe bure kabisa!

Baba V alisema analo, au kumbe naye ni dalali tu

nitafute, harrier ya mwaka 2001,auto,cc 2390 rangi ya silver, mileage 70,000kms, haijatumika bongo na inatoka bandarini kesho tar. 26 august. Bei mil.21 kamili. If interested call 0658192116
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom