mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,143
Tulia wewe hakuna harrier lexus.Soma zaidi utaelewa: Acha kuwashwawashwa:
Toyota Harrier - Wikipedia
Lexus ni premium brand ya Toyota,Sema labda Lexus RX 300 na sio harrier lexus.
Tulia wewe hakuna harrier lexus.Soma zaidi utaelewa: Acha kuwashwawashwa:
Toyota Harrier - Wikipedia
Nipo Dar nikiitaka inakuwaje..Nasiwezi kuja huko kuifuataHabari zenu wa-ndugu.
Gari ya Toyota Harrie Lexus inauzwa Mwanza kwa bei ya Milioni 32.
Model : 2007
CC : 2400cc
Engine type: VVTI
KM: 87,000KM
COLOR: BLACK
LEATHER SEAT. Plus other bling-bling. Imetoka week moja imepita na haina dalali.
Kam uko interesting njoo ni PM. Tutaelewana zaidi na wapi pa kuiona.!
Shukrani.
Hahah mkuu unatokea Simiyu au pandagechiza?Harrier na Nadia hua nazichanganya
Duuh..!!!Gari imechoka kichizi eti 32 mbilioni hata laki tatu na ishirini sichukui.
Ukishazichanganya inatokea gari gani, corolla au.???Harrier na Nadia hua nazichanganya
tutakutumia kwa M PESANipo Dar nikiitaka inakuwaje..Nasiwezi kuja huko kuifuata
Watu wengi wanaamini hizi ni gari aina moja lakini wanakosea sanaMkuu hakuna gari inaitwa Toyota Harrier Lexus. Ama ni Toyota Harrier au ni Lexus RX.