Hawajaeleza kwa uzef yaan mtu hana lakini anatoa maelezo ukimuuliza in details hajui, thats y nataka anae imiliki kabisa atuoe uzoefSearch humu, threads kama zote
Unataka kujua nini? Tuna Crown home zaidi ya miaka.Hawajaeleza kwa uzef yaan mtu hana lakini anatoa maelezo ukimuuliza in details hajui, thats y nataka anae imiliki kabisa atuoe uzoef
100%Unataka kujua nini? Tuna Crown home zaidi ya miaka.
1. Reliability: Iko poa sana.
2. Vipuli: Vipo kama upo Dar sijui mikoani.
3. Engine: Haina shida, Power hajawaizingua.
4. Common Problems: Kwetu issue kubwa labda suspension kwasababu njia ilikua mbaya. Kama 95% mkeka utaepuka ili tatizo.
Kama huna stress za mafuta na pesa za service, gari kali. Period.
Kwanza service ni kias gani?! Mbna mafundi wengi wanasema ni kawaida sana 150k unafanya service standard sana, na kuhusu vipuli sijajua kwa suspension ila kwa gear box niliuliza ni 850k engene completely 4gr 2.5 plugs og inarange 100k na ukifunga unasahau. Nahitaji kujua pia kama ukiweka mafuta kwa huku mikoani na sher zetu hz octain number ni low haiwez kuleta shida kwenye engene?Unataka kujua nini? Tuna Crown home zaidi ya miaka.
1. Reliability: Iko poa sana.
2. Vipuli: Vipo kama upo Dar sijui mikoani.
3. Engine: Haina shida, Power hajawaizingua.
4. Common Problems: Kwetu issue kubwa labda suspension kwasababu njia ilikua mbaya. Kama 95% mkeka utaepuka ili tatizo.
Kama huna stress za mafuta na pesa za service, gari kali. Period.
😀 Sawa mkuu100%
Pia mwambie kama anapenda mambio hapo ndio nyumbani. Ukigusa tu 180 hii.
Ilikuaje hadi ukaulizia gearbox?Kwanza service ni kias gani?! Mbna mafundi wengi wanasema ni kawaida sana 150k unafanya service standard sana, na kuhusu vipuli sijajua kwa suspension ila kwa gear box niliuliza ni 850k engene completely 4gr 2.5 plugs og inarange 100k na ukifunga unasahau. Nahitaji kujua pia kama ukiweka mafuta kwa huku mikoani na sher zetu hz octain number ni low haiwez kuleta shida kwenye engene?
Kwa haya maelezo yako nenda na crown. Lakini kama kipato chako sio kizuri basi achana nayoMaana niko dilema kati ya subaru Forester sh5 au Toyota crown so nataka nikifanya maamuz yawe ya busara sana
Kujua tu may be inaweza ikafa so nikahitajbkujua bei zake, and also wakat nanunua rumion sikuuliza baadae nikaja kuambiwa gearbox ikifa ni 3m + ,,,,,,, aloo niliitunza kama roho 😆, nashukuru haijawah kisumbua hataIlikuaje hadi ukaulizia gearbox?
Mafuta sio inshu kwanguKwa haya maelezo yako nenda na crown. Lakini kama kipato chako sio kizuri basi achana nayo