Toyota Corona Exiv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota Corona Exiv

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mkonowapaka, Feb 3, 2012.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hii gari ni y amwaka 1994.........ni saloon car inafanana sana na Cresta..


  hii ni manual car with engine capacity ya 1840 cc.....

  nataka niinunue toka kwa jamaa yangu wa karibu..mnasemaje kwa wale mnaoifahamu?
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mbona picha hamna, weka picha tuone ili tukushauri vyema
   
 3. ofisa

  ofisa JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  ACHANA NAYO,tembelea www.tradeview.com
  uone magari ya chee na mapya chini ya miaka 10
   
 4. B

  BLB JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Imetembea km ngap na anataka sh ngap. Mi nnayo cresta nipe 7m nakuachia. Ila ipo mbeya
   
Loading...