nshapitia mpendwa ila haijanivutia
haijakidhi vigezo?
nshapitia mpendwa ila haijanivutia
nimeipenda fika basi 3m maana injini ni kubwa kuliko za Corolla
viti vinahitaji matengenezo
Mkuu, kiufupi weka picha zingine make hizo watu wanaponda kwamba hiyo gari ipo juu ya mawe na ishakuwa banda la kuku! So, weka picha zingine nzuri ili uvutie wateja!! Kazi njema!!
bei yake ipo juu saaaana! 2 million nampahaijakidhi vigezo?
nanunua na kuku hao wanaonekana kwenye picha!haijakidhi vigezo?
eeeh!kumbe!!jamaa atakuwa anataka kuwachinja woteNaona wenye nyumba yao wanaandamana kwa masikitiko kupinga nyumba yao kuuzwa kwa bei ya jioni...
Corolla limited, inatembea, iko ktk hali nzuri kabisa, iko Morogoro mjini
113,000 km
2.0 L
Full AC
Automatic...
Kama unataka gari kwa bei poa, nunua hii, best fuel economy
Call 0717535794
bas totoz huwez nasisha kwa mguu...
gari hilo unapata totoz za ukweee
Nokia Tochiina 3G mPwa wangu???
yap...really! totoz zinamwagika kama kumbikumbi waliomulikwa kwa mwanga wa taa!
Nokia Tochi
Mpwa akuuzii gari pekee lina upako wa ajabu hili
mizigo ya afrika sana ikiliona inaingia fasta bila majadiliano na kupitia gari hili hata mkopo unakopeshwa unakula starehe bure usiniulize
zaidi ....
vyema kujua unanunua gari unapewa upako wa bure
Mpwa akuuzii gari pekee lina upako wa ajabu hili
mizigo ya afrika sana ikiliona inaingia fasta bila majadiliano na kupitia gari hili hata mkopo unakopeshwa unakula starehe bure usiniulize zaidi ....
vyema kujua unanunua gari unapewa upako wa bure
Corolla limited, inatembea, iko ktk hali nzuri kabisa, iko Morogoro mjini
113,000 km
2.0 L
Full AC
Automatic...
Kama unataka gari kwa bei poa, nunua hii, best fuel economy
Call 0717535794