Toyota Celica cc1750

lugendosisty

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
219
102
Nawasalimu wadau wa JF.

Nahitaji kununua gari tajwa Kwa ajili ya shughuli za hapa mjini. Ni model ipi ni nzuri kati ya mwaka 1999-2004? Naprefer iwe manual, natambua hili ni jukwaa la wajuzi wa hizi kitu hivyo naomba mrejesho.
 
Jaribu kuseach kwenye hii page
Screenshot_20181022-112543.jpeg
 
Back
Top Bottom