ChelseaBlue
Senior Member
- May 22, 2011
- 148
- 43
Transmition: Automaticsema saba mkubwa ule shavu! auto au manual?
sema saba mkubwa ule shavu! auto au manual?
hhaha hakyanani acheni maskhara wakuuu....hiyo garimil 7?
tena hapo nimekupa cha juu usumbufu lk 2 + depreciation lk6 so jumla nimekuachia lk 8 so kazi kwako
nyie msiwe mapoyoyo oda iyo gari direct from japan unapata safii kbsa na utatumia mil 6.8 tuu mpaka umeshika mashine mkononi.mi nasukuma mashine kama iyo nimetumia 6.8! yan anataka kupiga cha juu cha mil 3.2
watanzania tuamke jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama umeiuza gari hiyo kwa bei hiyo we noumer,duuuuuh!!!nashkuru kwa maoni yenu wote,,,The car successfully sold!..