Una afya kwa dalali asiye na uelewa, anaweza kujifunza mawili matatu ya branding kwenye dunia ya biashara. TOYOTA hawajasema gari yao imefungwa engine ya kampuni ya piki piki, huyu yeye anadhani YAMAHA ni selling point kwa gari ya TOYOTA. Mbona wenyewe wawili TOYOTA na YAMAHA hawakusema?niseme tu kwamba ubishi unaouleta hauna afya. Haujengi
Nashindwa nikupatie jina gani. Ni nani alikuambia yamaha ni kampuni ya pikipiki tu??Una afya kwa dalali asiye na uelewa, anaweza kujifunza mawili matatu ya branding kwenye dunia ya biashara. TOYOTA hawajasema gari yao imefungwa engine ya kampuni ya piki piki, huyu yeye anadhani YAMAHA ni selling point kwa gari ya TOYOTA. Mbona wenyewe wawili TOYOTA na YAMAHA hawakusema?
Ameitoa wapi hiyo taarifa? Amejuaje engine ya Alteza ni ya YAMAHA ?
Mke wa huyu jamaa ana tabu sanaNashindwa nikupatie jina gani. Ni nani alikuambia yamaha ni kampuni ya pikipiki tu??
Yamaha ni kampuni inayotengeneza producta za aina mbalimbali, na ukatolewa mfano kuwa wanatengeneza hadi vinanda.
Yamaha anatengeneza engines kwa baadhi ya magari ya toyota, Ford na volvo
Unataka ueleweshwaje??
Umejuaje engine ya Alteza imetengenezwa na YAMAHA ?Yamaha anatengeneza engines kwa baadhi ya magari ya toyota, Ford na volvo
Unataka ueleweshwaje??
Wewe ni mgeni wa magari, Kwa mtu anayeijua altezza wala asingeuliza hili swali.Umejuaje engine ya Alteza imetengenezwa na YAMAHA, imeandikwa ?
Prove it!
Mkuu achana nae huyu jamaa unajichosha bure mm nishaacha kumjibuWewe ni mgeni wa magari, Kwa mtu anayeijua altezza wala asingeuliza hili swali.
Wewe ni mgeni wa magari, Kwa mtu anayeijua altezza wala asingeuliza hili swali.
Ukikua utaacha..Huyu jamaa anayejiita dalali Jugo kadhamiria kunidhuru,kaweka namba zangu na picha zangu hapa,mpaka sasa nimepokea sim 5 za vitisho na matusi.Ukifatilia conversation yeye ndo kaanza kuniita mimi mpumbavu,nami nikampa haki yake..iweje yy akimbilie kupost mawasiliano yangu pamoja na picha zangu humu? Bila ridhaa yangu?! Angefanyiwa yy angeridhika?!Yote kwa yote yeye anamaguvu na kwel ameahidi kunifanyia kitu kibaya..mpaka sasa usalama wangu upo mikononi mwake,endapo nitadhurika atakua anahusika asilimia zote.
Mzee sema we mbishi sana aiseeUmejuaje engine ya Alteza imetengenezwa na YAMAHA ?
Kuna chapa ya YAMAHA ?
Prove it!
Kwameh is the winner! Bravo ,bravo.mkuu acha kila mtu ajue anavyojua,utapasuka kichwa bureMkuu achana nae huyu jamaa unajichosha bure mm nishaacha kumjibu
Anhaaaa, okay basi nadhani tumeyamaliza ya Altezza na engine ya boda boda....Kwameh is the winner! Bravo ,bravo.mkuu acha kila mtu ajue anavyojua,utapasuka kichwa bure
Dada habari. Nakushauri acha kuingilia majibizano ya wanaume. Utafumuliwa mitaro bure. Ogopa sana mwanaume akiwa na jazba.Mke wa huyu jamaa ana tabu sana
[emoji23][emoji23][emoji23] hahahahhaaaaaaaaaaDada habari. Nakushauri acha kuingilia majibizano ya wanaume. Utafumuliwa mitaro bure. Ogopa sana mwanaume akiwa na jazba.
Inabidi tuheshimu mtazamo wako pia! Mimi nipo fiti mtanange uendelee!! Ila msije kulia lia apa na kutia huruma.Kuna watu hawataki mchezo. Muheshimiwa spark Bado anaugulia maumivu yaani amepigwa KO ya hatari.
Sema vijana tuwe na adabu tuheshimu shughuli za watu.
Hapo umefanya kosa kubwa sana katika maisha yako. Kumbuka una namba zako humu, hivyo ni tayari unajulikana.
Ikatokea kwa bahati mbaya huyo jamaa akadhurika na mtu mwingine au tu ikatokea kakutana na vibaka wakataka kumpora simu akagoma wakaamua kumuua, jua wewe ndio utaenda kujibu kwa kuwa itaonekana wewe ndio uliepanga hilo tukio.
Kuna makosa madogo sana huwa yanaenda kugharimu maisha ya watu.
Ukishaweka mawasiliano yako kwenye social media, basi kaa mbali kabisa na vitisho kwa watu. Na kama kuna comment itakukera basi achana nayo, we endelea na kazi zako.
Nimekushauri hayo kwa kuwa kuna watu wengi hivi vitu vya kutishia vimewagharimu
Uende ukatoe taarifa polisi ili wamtafute haraka Sana.Huyu jamaa anayejiita dalali Jugo kadhamiria kunidhuru,kaweka namba zangu na picha zangu hapa,mpaka sasa nimepokea sim 5 za vitisho na matusi.Ukifatilia conversation yeye ndo kaanza kuniita mimi mpumbavu,nami nikampa haki yake..iweje yy akimbilie kupost mawasiliano yangu pamoja na picha zangu humu? Bila ridhaa yangu?! Angefanyiwa yy angeridhika?!Yote kwa yote yeye anamaguvu na kwel ameahidi kunifanyia kitu kibaya..mpaka sasa usalama wangu upo mikononi mwake,endapo nitadhurika atakua anahusika asilimia zote.
Uende ukatoe taarifa polisi ili wamtafute haraka Sana.