dalali jugo
Senior Member
- Dec 18, 2020
- 112
- 182
- Thread starter
-
- #101
Nimeshangaa sn sikutaka malumbano nae tu, dogo mwenyewe anapost namba zake kila mahaliwewe bwana mdogo wacha kutishia watu, unataka kuaminisha watu kwamba namba za huyo dogo watu hawazifahamu? na watu wamdhuru kwa lipi labda, acha mambo yako wewe
Huyo dogo alistahili ulichompa, akirudi tena hapa tutampa tofali lingine. sidhani kama atathubutuNimeshangaa sn sikutaka malumbano nae tu, dogo mwenyewe anapost namba zake kila mahali
Hapa kapost mwenyewe namba yake, hawezi kurudi mbona anasoma tu hajibu kituHuyo dogo alistahili ulichompa, akirudi tena hapa tutampa tofali lingine. sidhani kama atathubutu
Namba zake anapost mwenyewe publicHuyo dogo alistahili ulichompa, akirudi tena hapa tutampa tofali lingine. sidhani kama atathubutu
hahha. basi sawa mkuu muache inatoshaNamba zake anapost mwenyewe publicView attachment 1663710
Sitaki kipeperushi. Sijui kimeandikwa na nani.
HII NCHI UKIWA UNASUMBULIWA NA STRESS HUO NI UJINGA WAKOAlama ya kuuliza maana yake nini?
Madalali nendeni shule
Nataka kujua, je, original engine ya Toyota iliibiwa ndio ikafungwa engine ya boda boda?
Usichokijua ni kitu kidogo sana,NIONYESHE picha ya hiyo engine imeandikwa YAMAHA
Eti SUBARU ina engine ya BOXER
Mjepu afunge engine ya boda boda ya Mdosi ???
Usichokijua ni kitu kidogo sana,
YAMAHA ni kampuni kubwa, wanatengeneza injini za gari, wanatengeneza vifaa vya muziki, wanatengeneza injini za boti, wanatengeneza pikipiki, etc.
Ukijua hili hutohangaika kuwaza kua Injini ya Pikipiki ikawekwa kwenye gari
We nae tumekuchoka mtu gani usiyeelewa kila unavyoeleweshwa? Haya basi imefungwa engine ya bodabodaMtu akikutengenezea engine hawezi kukubali iandikwe jina lingine.
ROLL'S ROYCE engine ya ndege ( sisi tunaita mabawa) hawakubali engine zao ziandikwe BOIENG. Zinapigwa chapa la ROLL'S ROYCE
View attachment 1664200
YAMAHA wangetengeneza engine ya TOYOTA lazima wangeiandika YAMAHA!
Serikali iwulike. Madalali mwende shule na mratibiwe.Haya basi imefungwa engine ya bodaboda
Hapo umefanya kosa kubwa sana katika maisha yako. Kumbuka una namba zako humu, hivyo ni tayari unajulikana.
Ikatokea kwa bahati mbaya huyo jamaa akadhurika na mtu mwingine au tu ikatokea kakutana na vibaka wakataka kumpora simu akagoma wakaamua kumuua, jua wewe ndio utaenda kujibu kwa kuwa itaonekana wewe ndio uliepanga hilo tukio.
Kuna makosa madogo sana huwa yanaenda kugharimu maisha ya watu.
Ukishaweka mawasiliano yako kwenye social media, basi kaa mbali kabisa na vitisho kwa watu. Na kama kuna comment itakukera basi achana nayo, we endelea na kazi zako.
Nimekushauri hayo kwa kuwa kuna watu wengi hivi vitu vya kutishia vimewagharimu
Lete hizo namba zilikutushia, acha kutishia watu na kutafuta huruma ww ni mpuuzi tu nimepost tangazo la kuuza gari kwann uanze kunitukana? Kilikukera nn mm kutangaza kuuza gari?Huyu jamaa kadhamiria kunidhuru,kaweka namba zangu na picha zangu hapa,mpaka sasa nimepokea sim 5 za vitisho na matusi.Ukifatilia conversation yeye ndo kaanza kuniita mimi mpumbavu,nami nikampa kinachostahili..iweje yy akimbilie kupost mawasiliano yangu pamoja na picha zangu humu? Bila ridhaa yangu?! Angefanyiwa yy angefurahi?!Yote kwa yote yeye anamaguvu na kwel ameahidi kunifanyia kitu kibaya..mpaka sasa usalama wangu upo mikononi mwake,endapo nitadhurika atakua anahusika asilimia zote.
Naona hiyo post ya jamaa imekupa nguvu na kurudi hapa kutia huruma, ww ni mpuuzi tu sina muda wa kupoteza na ww. Lete hizo namba zilizokutishia, ww si ulisema utanitatua mm marinda sema upo wapi nije unitatue hayo marindaHuyu jamaa anayejiita dalali Jugo kadhamiria kunidhuru,kaweka namba zangu na picha zangu hapa,mpaka sasa nimepokea sim 5 za vitisho na matusi.Ukifatilia conversation yeye ndo kaanza kuniita mimi mpumbavu,nami nikampa haki yake..iweje yy akimbilie kupost mawasiliano yangu pamoja na picha zangu humu? Bila ridhaa yangu?! Angefanyiwa yy angeridhika?!Yote kwa yote yeye anamaguvu na kwel ameahidi kunifanyia kitu kibaya..mpaka sasa usalama wangu upo mikononi mwake,endapo nitadhurika atakua anahusika asilimia zote.
Nilitaka kukuambia kua Rolls Royce wanatengeneza engine za ndege ila nilivyoona we mwenyewe umepost hivyo niseme tu kwamba ubishi unaouleta hauna afya. HaujengiMtu akikutengenezea engine hawezi kukubali iandikwe jina lingine.
YAMAHA wangetengeneza engine ya TOYOTA lazima wangeiandika YAMAHA!
ROLL'S ROYCE engine ya ndege ( sisi tunaita mabawa) hawakubali engine zao ziandikwe BOIENG. Zinapigwa chapa la ROLL'S ROYCE
View attachment 1664200
Ndege BOEING
Mashine (bawa) ROLL'S ROYCE
Hakuna mkanganyiko.
Ipo mkuuHipo bado